Nimwambiaje?

mwambie SIJISIKII.
asi anajua kwamba wewe ni BINADAMU..unafilling na mud pia?
km yeye anajiskia we haujiskii .
au tumia hand skill....mkono asi unao bib?...
...saluni niliskia km hawajiskii wanatumia mikono au midomo sjui nini so wewe chagua km mtaalamu wa mic chek 1 ..2 basi nenda azam
au mkono kati bas mpango kamili

ehh nyinyi mnaofanya mchezo mbaya mna tabu jaman...HERI YANGU MIMI NISIYEANZA BADO...i was pasng byeeeeeee:car:

Obuntu hajaelewa hapo Rose1980 alikuwa anamaanisha nini?
 
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
dah....
haya bana wish you all the best...
Konyagi za mchana mi najua habari yakeee!!
 
eti eeeh tatizo ni kwamba mi natokea kule kunyumba na ngoma ikipigwa uwanjani kwetu lazima nitoke nami nicheze,ntashindwa kujizuia kwakweli.

ukiona na wewe unataka kuwajibika jua unatamani sema una ka uvivu tu kwa wakati huo, mie kama cjickii kuwajibika walaaa nikigeuzwa hivi nageuka vile sawa ili mradi amalize, ndio mana nina ugomvi nae sana na konyagi coz shughuli yake hapana aisee., lazima na wewe uwe kwenye hali hiyo ki kweli kweli...
 
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
na njemba ndo lishajikoki..toka kichwani hadi maunoni.. leo anapewa kitumbua...utajiju!!!
 
Aaahh!!! Mwalimu vipi tena???

Aaa nawakumbusha tu kuwa na kiasi katika yale wayajadiliyo.

Dini zetu kuu pamoja na mila na tamaduni zimeweka mipaka katika hayo.

Zinasema "mwanandoa hapaswi kujadili anachofanya/anatachofanya na mwandani wake' kwa watu wa nje.

Kwa vile sikutaka kuwa killjoy fulani hivi ndio nawaambia "aste aste"
 
Aaa nawakumbusha tu kuwa na kiasi katika yale wayajadiliyo.

Dini zetu kuu pamoja na mila na tamaduni zimeweka mipaka katika hayo.

Zinasema "mwanandoa hapaswi kujadili anachofanya/anatachofanya na mwanandi wake' kwa watu wa nje.

Kwa vile sikutaka kuwa killjoy fulani hivi ndio nawaambia "aste aste"
Hivi vizazi vya Dot.Com utaviweza mwalimu?
 
wala hawezi kusahau ndo kawaida yake akinywa miwili zen anakula jani kidogo alafu ndo ile tam,iliyochangwanywa na redbull pamoja na asali

dah....
haya bana wish you all the best...
Konyagi za mchana mi najua habari yakeee!!

mzee halafu anatia na jani kidogo, huyu mama kuna kitu hataki kusema huyu...anaogopa nini sijui
 
mmh nimekuelewa mpz lakini mi hata sielewi sijui tam ni tam sana au ni yale masarakasi maana kila siku?tena dozi ile ile kutwa mara tatu?kha
ukiona na wewe unataka kuwajibika jua unatamani sema una ka uvivu tu kwa wakati huo, mie kama cjickii kuwajibika walaaa nikigeuzwa hivi nageuka vile sawa ili mradi amalize, ndio mana nina ugomvi nae sana na konyagi coz shughuli yake hapana aisee., lazima na wewe uwe kwenye hali hiyo ki kweli kweli...
 
dah....
haya bana wish you all the best...
Konyagi za mchana mi najua habari yakeee!!

mkuu, niliwahi kusikia kuwa,
ukikamata guiness bottle 2,
kisha ukachanganya na kisichana 1(konyagi),
habari yake ni bora isikukute,
utatamani kubaka!!!!!!!!!!
 
eeeh tena la arusha bichiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mzee halafu anatia na jani kidogo, huyu mama kuna kitu hataki kusema huyu...anaogopa nini sijui
 
kwahiyo Nyamayao haumsaidii mzee hata kushika jeki, spana........????!!!!!!!!!!

kwa wakati huo haina hata haja ya kuishika coz tayari ipo mahali yake ni kitu kimoja tu kinahitajika"heat"
 
Back
Top Bottom