Nimwambiaje?

wala hawezi kusahau ndo kawaida yake akinywa miwili zen anakula jani kidogo alafu ndo ile tam,iliyochangwanywa na redbull pamoja na asali
Konyagi mzinga wa pili? huyo atasahau hata kuomba huyo
 
wengine tunawaachaga wajishughulishe wenyewe kama hiyo cku ipo ipo tu, amalize achape ucngizi wake....
 
madai et unajua sana KUSHIKWA MIC...kwan wengne wanaishika kwa vidole viwil na wengne mikono yote miwl..?
au wengne wanaishka na kisigno wakt wa wanahutubia >>>?:car:byeeeeee

vidole vya kati vina kazi yake mahususi ati!!!!!!!
 
sio uvivu my dear lkn leo sijiskii na sitaki kumuonyesha namnyima,nampenda na napenda ale mpaka acheuwe si ni yake?[
Orait,
Mpe ajisikie yeye.........do for luv.
Au unataka yeye ndo a-do for luv kwa kuacha kuomba utamu?
 
wengine tunawaachaga wajishughulishe wenyewe kama hiyo cku ipo ipo tu, amalize achape ucngizi wake....
ukubwa dawa................Lulu umesikia? lala kama gogo, ukigeuzwa geuka.
tatizo ni hizo konyagi bana!
 
eti eeeh tatizo ni kwamba mi natokea kule kunyumba na ngoma ikipigwa uwanjani kwetu lazima nitoke nami nicheze,ntashindwa kujizuia kwakweli.
wengine tunawaachaga wajishughulishe wenyewe kama hiyo cku ipo ipo tu, amalize achape ucngizi wake....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom