Nimwage siri?

sasa unaogopa nini na wewe unatumia jina ambalo sio lako? mwaga ugali kaka utufungue macho,au kuhusu ugonjwa wa Mh. Zitto?
weka mambo hadharani utusaidie.
 
mwaga tu au unaogopa ngoja nikusaidie. mwaka jana ulikamatwa unabaka albino wa jirani yako.
 
Umetuchosha.mtama wataka kumwaga kwenye kuku wengi hapa.ulongo bwana huna siri weye​
 
Kuna siri kubwa sana nataka niitoe lakini nahofia usalama wangu. Vipi niitoe? pole​
 
Kuna siri kubwa sana nataka niitoe lakini nahofia usalama wangu. Vipi niitoe?

Nivunje kikombe nisivunje ????????????? ukisikia mwita anaogopa kusema ujue anaogopo kusutwa manake kuzua si kazi kazi kusutwa!! sema mie ntakufungia st
 
Kuna siri kubwa sana nataka niitoe lakini nahofia usalama wangu. Vipi niitoe?

Kama inahusu maslahi ya nchi basi huna budi kuiweka hadharani lakini wakati huo huo uchukue hatua muhimu ili kulinda uhai wako kama vile kuwa makini 24/7 katika maeneo yote utakayozuka na kupunguza kuwa nje ya maskani yako nyakati za usiku mwingi, kama ujuavyo sasa hivi kulambishwa sumu kunazidi kushamiri kwa kasi ya kutisha na hakuna aliyekamatwa hadi sasa.
 
Back
Top Bottom