Nimwage siri?

subiri mkutano wenu wa kuvuana magamba part 3 uanze ndio ukatoe hiyo siri yako huko kwa wanafiki wenzako na wala sio hapa, usitoe
 
Wewe Mod uliyeileta hii thread huku naomba uifute tu. Asante kwa uelewa wako!
 
Huna siri yenye hadhi ya kumwagwa JF, labda ya chumbani kwako ukamwage kule kwenye udaku, ila jihadhari mkeo akijua usalama wako utakua mashakani
 
Back
Top Bottom