..weng ndo mana mnapata malaana mna cameruniwa..em imagn mama yako anakwambia fulan alnfanyia iv..ukimuona utampenda!?au dadako ndo anafanyiwa iv..af et unaomba ushauri,ningekuwa karibu ningekupigia ukunga wa mwizi utiwe moto..et vgezo vgezo we unavyoo!?iv kwanin 2simeet cku moja,wengne tuje na matyre!lol..af ukute unaomba ushauri,umezima cmu umemdanganya n ushammwaga na apo upo kwa uyo mpya! Tena half time! Lol..umenibore coz hata za kupewa utamix doz wewe..mana yan hujiamin,..lamba lamba uonje utalamba joker....em ukemee ilo pepo maana ltaku2mia ad ufe..bt b4 ltakugeuka..na kamwe ukfanya hiv hutafanikiwa katk maisha,katili kwel yan mkuu..dah!
Imagine anavyojieleza hapa kwamba dada wa watu anampenda kwa dhati tena kwenye shida na raha...hadi hela anamsaidia kitu ambacho mimi kumpa mwanaume hela siwezi kabisaaaaaa, na sio hilo tu mengi wamesaidiana, alafu leo anakuja eti kwa kigezo kwamba physically hana vigezo tena kwa 4 years ila huyu mpya ndo physically anaonekana kuwa na vigezo tena kwa kupimwa kwa 8 months tu!
hivi huyu dada anayeachwa kesho akukutana na mwanaume mwingine inafikiri anaweza kuendelea kufanya kwa ukamilifu yale yote mazuri aliyomfanyia huyu gaidi? tayari atakuwa na walakini na hofu ya kutoingia mzima mzima na huo ndo utakuwa mwanzo wa poor commitment....ukweli huyu kaka hajanifurahisha kabisa kweli hujakosewa popote, tena unashuhudia mema ila unatafuta sababu ya kumuacha huyu bint???kweli mkataa kwema pabaya panamfuata,!
kila la heri mwambie dada wa watu ukweli aanze maaisha yake kivyake ila UTAMKUMBUKA!!
Men men men!!!It's always like that,wen u reaches time ya kuoa,u left ur old gals...So bad,so painful..But let her face da truth..Usimpotezee muda.
kweli nimeshndwa narudia tena nimeshndwa, mimi ni kijana wa 25-30 umri wa kuoa au kuwa na msimamo na mchumba uliye na malengo nae, mwaka 2007 nilimtongoza mdada mmoja wa maeneo ya kwe2 akakubali, 2kapendana kweli kweli, mpaka 2010 mwshoni 2kawa kwenye uhusiano vizuri, sasa ikafikia mahali nausikilizia moyo wangu haswa 2kiwa mbali.
Hivi ni vigezo gani, au aweje mpenz wangu ili niishi nae! Nafsi ikanitajia, kukutana na huyo mpenz wangu nikakuta amevikosa baath na sa hv ni mwez wa 8 teyar nina mdada mwingne mwenye navyo na nimempenda kwel kweli, shda inakuja jins ya kumwacha huyu wa kwanza maana nimekosa ujasiri kwa kweli.
Ni2mie mbinu gan jaman ctaki kuendelea kumpotezea mda na jins 2livyokua close na anavyojiamin kuwa cwez kumtosa maana kuna mahali 2nakopeshana hela etc mmoja we2 akichoka, so nashndwa kuenda direct, pls nisaidien, nimeshakosa nipen msaada bdala ya kunilaumu. am a Man
dah, mrembo umefunguka kwa hisia kali sana hapa kiukweli na i am sure jamaa angetafakari kwa kina maneno uliyosema maybe angekuwa na second thoughts kuhusu uamuzi wake... hapo uliposema huwezi kumpa mwanaume hela, mbona unakuwa mgumu hivyo katika masuala ya kupigana tough? maisha ni kusaidiana ujue...
Sio ubahili lakini mijanaume ndo ilivyo...unasaidiana nalo mwishoni linaishia kukutenda tu!nitasaidiana na mume wangu lakini sio boyfriend...., unajua unavyozidi kujitoa ndo hata maumivu yanaongezeka siku ya kutendwa...ila ukijifanya hujali wakati unajali hata siku ukiachwa huumii sana
hawa wenzetu wachache wanatuharibia big time.... ona sasa wote tunaonekana 'mijanaume', yaani kama midude fulani hivi... this is not fair
Imagine this innocent girl, hata hajui kuwa gaidi anafikiria kumuosama huku yeye ndo kwaaaaaaaaaanza anazidisha mapenzi! kwa hali hii tukicheat tunaonekana wabaya kumbe ninyi ndo mnatufanya tuwe wasanii........hili ni gume gume kweli