Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

Ni vigumu sana kupima utu wa mtu kwa sura yake nzuri/mbaya aliyonayo lkn sometyms matendo yanaweza kukupa picha fulani japo si kwa aslimia mia,ukweli wa nani unayempenda wewe ndio unao ila kwaushauri tu ni kwamba dada uliyenaye sasa naonekana anakupenda kwa dhati na anauwezo mkubwa wa kukukubali kwa hali yeyote ile na anawapenda ndugu zako,mvumilivu, anajishughulisha kimaendeleo vitu ambavyo ni muhimu ili ndoa ije kuwa na amani.cha muhimu tazama sana moyo wako ili usije ukamtesa yeyote yule katika hao kwasababu hameet qualities fulani ambazo mwenzake anazo.
 
Back
Top Bottom