Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

Sasa una busara gani na wewe??Mijanaume mingine bwana...kisa cha kumpiga mtoto wa watu?Kama ulikua humtaki siungemwacha?Eti anakuganda...kwani mmeunganiswa na glue?UMENIBOA!
 
kila siku huwa najiulizaga....
hivi wanawake wa aina hii wanapatikana wapi???????

yaani unatumia hela zake na unampiga juuu?
na bado una jeuri ya kutuuliza ufanyaje umuache??????

am i not the lucky one?
 
hii dunia ina mambo,eti nimechoka kutoa adhabu.
sio siri unatia kichefuchefu lkn mwenye makosa ni huyo mwanamke mwenzangu maana nahisi amelogwa.yote ulomfanyia na kumpiga juu bado anakuganda na hela zake ziko ktk account yako!!!!!!
mi ushauri wangu ni kuwa wote hao wawili huwastahili,hustahili kuwa na mwanamke wa aina yeyote.
 
Hehe poor you!Alafu eti kuna watu wanasema kila mtu anapewa anaefanana nae wakati hapa mbwa kawekwa na mbuzi!It's a shame kwakweli maana huyu anatakiwa apate atakaemtembezea mkong'oto na yeye!
 
yaani sometimes life is unfair kwa kweli.....
vidume vikorofi huwa na bahati sana,
ukiwa nice si ajabu ukapata mwanamke mkorofi...
 
Hehehe...true!Kuna wale ambao hua wanapigwa na wake zao mpaka wanalia!!
 
mwanamme mbaya wewe,kama huna mapenzi na huyo dada,bora achana nae,kwani ukimuoa utampa tabu tu,ila namsikitikia huyo dada anaekupenda na kukuhonga.naomba siku moja agutuke aachane na wewe,ili na wewe kama utamchukua huyo wa darasa la 7,akutese kama unavyomtesa mwenzako.w.me kama nyinyi,hamfai kabisaaaaaaaaaa
 
hii dunia ina mambo,eti nimechoka kutoa adhabu.
sio siri unatia kichefuchefu lkn mwenye makosa ni huyo mwanamke mwenzangu maana nahisi amelogwa.yote ulomfanyia na kumpiga juu bado anakuganda na hela zake ziko ktk account yako!!!!!!
mi ushauri wangu ni kuwa wote hao wawili huwastahili,hustahili kuwa na mwanamke wa aina yeyote.
Huyu hastahili kuoa hata akioa hatakuwa mume mwema.

OFF TOPIC: Haujambo,longtime no hear/see.
 
hi jf members, mm ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwnza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea, basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo huyu nililenga awe kuenjoy naye siku moja na kumuacha maana sikumpenda sana, ila baada ya ku do naye alinipenda ile mbaya na kuanza kuniganda kila ninapoenda. Kuona hvyo nikamtumia sms ya kumkataa pia hakusikia, nikampiga hadi kumuumiza pia hakuniacha. Ok nikaamua kuzuga naye maana nilichoka kutoa adhabu, baada ya hapo tukawa tunaishi km lovers kwa sababu yeye ananipenda sana hata hela zake ziko kwenye account yangu na tumenunua naye vitu vingi vya ndani mfn tv, kitanda, kabati, computer, nk. Pia hutumia mzazi wangu hela zake japo hajawahi kumuona. Wakati huo huo yule binti wa darasa la 7 naye aliniomba msamaha nikamsameha pia anasubiri nimuoe. Je nimuoe yupi kati ya hawa? nifaje ili roho yangu impende huyu wa chuo? plş

Duh!!Hii kali yaani unapiga mtu kwa sababu anakuganda??I'm sorry to say this but it is pathetic!!Kwa hiyo kama hukumpenda kwa nini ulimtafuta??Si vizuri kubeep feelings za mtu coz assume we ndo ungekuwa unafanyiwa vituko na umependa ungejisikiaje??U need to choose one maana huoi elimu unaoa mke so swala da huyu wa chuo huyu wa wapi ni criteria ambazo si za msingi saana!!
 
you jf members i real appreciate ur contributions,
 
Bwana mdodo, unataka kupenda,kupendana au kupendwa?
Je unajua dalili za hapo juu?
Kama una majibu yake,maamuzi unayo wewe ili usijesema ohh jamiiforums imekushauri vibaya ohh bila jf nisingekuwa na 'wewe'.
 
hi jf members, mm ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwnza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea, basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo huyu nililenga awe kuenjoy naye siku moja na kumuacha maana sikumpenda sana, ila baada ya ku do naye alinipenda ile mbaya na kuanza kuniganda kila ninapoenda. Kuona hvyo nikamtumia sms ya kumkataa pia hakusikia, nikampiga hadi kumuumiza pia hakuniacha. Ok nikaamua kuzuga naye maana nilichoka kutoa adhabu, baada ya hapo tukawa tunaishi km lovers kwa sababu yeye ananipenda sana hata hela zake ziko kwenye account yangu na tumenunua naye vitu vingi vya ndani mfn tv, kitanda, kabati, computer, nk. Pia hutumia mzazi wangu hela zake japo hajawahi kumuona. Wakati huo huo yule binti wa darasa la 7 naye aliniomba msamaha nikamsameha pia anasubiri nimuoe. Je nimuoe yupi kati ya hawa? nifaje ili roho yangu impende huyu wa chuo? plş

You are so rubish men,afu bila aibu unaandika upumbavu wako hapa eti
 
hebu 2ulize maswal ya kiu2 uzima kwan wewe umeona nan anakufaa uamuz unao wewe mwenyewe sawa kijana fikiria mara mbil
 
Angalia roho yako ila acha unyanyasaji, huwezi mpiga mtu kisa kakuganda, wenzio wanatafuta wa hivyo hawawapati, kama hukumpenda ulimtongozea nini tangu mwanzo? anyway, wa darasa la saba shule sio kigezo unaweza kumwoa na akajiendeleza mpaka kufika elimu ya juu. angalia mapenzi yako yako wapi
 
Back
Top Bottom