Nimuapuke vipi huyu msichana?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,385
14,105
Wakuu... habari zenu

kuna msichana mmoja hivi kwa nyakati tofauti alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na washikaji zangu wa karibu na aliachana nao kwa sababu ambazo hakuna msichana anayeweza kuzivumiliana...

mshikaji wa kwanza aliachana nae kwa sababu mshikaji alikuwa ni mtu wa misheni town, ana tabia za udalali na kudhulumu watu vitu vyao nikawamo mimi alishawahi kunidhulumu pesa zangu na Ipod yangu, hivyo msichana akaamua kuachana na mshikaji...

mshikaji wa pili alikua ni mtu wa totozi sana kwa hiyo demu uvumilivu ukamshinda wakaachana na mshikaji...

sasa cha kushangaza huyu msichana ameanzisha tabia moja ya ajabu yaani anakua anajipiga picha halafu anazituma kwenye email yangu au kwenye application ya WhatsApp kwenye simu tangu kwa siku anaweza kutuma hata picha tano kwa njia ya WhatsApp tena picha ambazo ni tata, ameshaanza kunitumia picha mapaja yapo nje kabisa, tumbo lipo wazi na wakati mwingine anapiga picha akiwa amevaa bikini tu na bra.... halafu anaandika maneno machache kama mambo vipi? hello, how is it? good night... anandika maneno ya kawaida tu lakini hizo picha anazonitumia ni utata mtupu.... na mimi sifurahii haa kidogo....
nifanyeje? na sitaki kumtolea maneno ya maudhi au kumtukana naomba mnipe mbinu za kumkwepa kiustaarabu

Pamoja wakuu...
 
Kwanza kuwakandia hao jamaa waliotangulia na huyo demu inaonesha kuwa unampango wa kuchukua mzigo na wewe usijeachwa kwakutoa siri humu jamii .
 
Kama vipi wee mwambie hivi...Ile picha yako uliyonitumia jana girlfriend wangu kaiona kang'aka kweli hakufurahia kabisa, unaonaje ukaacha kunitumia picha za dizaini hiyo maana utanigombanisha na laaziz wangu!!
 
kwani we uwa unamjibu akikutumia shenzi wake huo kama uwa unajibu jitahidi kujiepusha kwa kuto kujibu txt zake.sina mengi maana mi mwenye ni muanga wa tatizo kama hilo.
 
Kwanza kuwakandia hao jamaa waliotangulia na huyo demu inaonesha kuwa unampango wa kuchukua mzigo na wewe usijeachwa kwakutoa siri humu jamii .

siwakandii hao jamaa ila naongea vitu ambavyo nina uhakika navyo na hizo ndizo sababu zilizomfanya binti aachane na hao washikaji
 
kwani we uwa unamjibu akikutumia shenzi wake huo kama uwa unajibu jitahidi kujiepusha kwa kuto kujibu txt zake.sina mengi maana mi mwenye ni muanga wa tatizo kama hilo.

hua mimi si mjibu akinitmia kwenye WhatsApp hizo picha zake huwa namjibu text sms ya kawaida tu, mimi nimelileta hapa ili nipate solution ya hili jambo nimkwepe vipi?
 
Kama vipi wee mwambie hivi...Ile picha yako uliyonitumia jana girlfriend wangu kaiona kang'aka kweli hakufurahia kabisa, unaonaje ukaacha kunitumia picha za dizaini hiyo maana utanigombanisha na laaziz wangu!!

hahaaa, siwezi kujihami kihivyo mkuu maana anajua kabisa mimi Girlfriend yuko mbali na mimi ninachotaka nitafute njia nzuri a kumkwepa,
 
Kaka kama jambo hulitaki na hulifurahii sidhani kama unakosa mbinu,au kwa ufupi kaa kimnya atatuma mpaka atachoka atawacha...
 
hua mimi si mjibu akinitmia kwenye WhatsApp hizo picha zake huwa namjibu text sms ya kawaida tu, mimi nimelileta hapa ili nipate solution ya hili jambo nimkwepe vipi?

akikutumia Inamaanisha Anahitaji Maoni Yako!!
Sasa Fanya Hivi Mfano Akianika Paja Nje,Wewe Reply Kwa Kumjibu.."Mh!hili Paja Au Ubao Wa Kusukumia Chapati?"
Hapo kila Kitu Kitakuwa End!
 
Kaka kama jambo hulitaki na hulifurahii sidhani kama unakosa mbinu,au kwa ufupi kaa kimnya atatuma mpaka atachoka atawacha...

well said mkuu, na mimi anajua kama sifurahii ila basi tu anafanya maana ashanitumia picha kama 18 hivi huwa mimi napotezea tu
 
hahaaa, siwezi kujihami kihivyo mkuu maana anajua kabisa mimi Girlfriend yuko mbali na mimi ninachotaka nitafute njia nzuri a kumkwepa,

Wee nae inaelekea unamzimia kimtindo... Sasa mwambie moja kwa moja kwamba hutaki hizo biashara anazokuletea kwani wewe sio mnunuzi...! Unaogopa nini Kaka??
 
Mshkaji wa kwanza aliachana nae kwasababu ya uzulumishi, wa pili kwasababu ya totoz basi na wewe muonyeshe kwamba una totoz ataachana na wewe unless unaishi kama paroko lazima akusumbue. Tafuta totoz wa kutosha wa kutesa nao hata kwa mwezi na yeye umualike ili aone lazima ataondoka hiyo ndio shortcut way.
 
akikutumia Inamaanisha Anahitaji Maoni Yako!!
Sasa Fanya Hivi Mfano Akianika Paja Nje,Wewe Reply Kwa Kumjibu.."Mh!hili Paja Au Ubao Wa Kusukumia Chapati?"
Hapo kila Kitu Kitakuwa End!

Haahaaaa hapa umenena, lakini inatakiwa staha iwepo, kama kuna moja ametuma asubuhi anaonyesha tumbo lake na amevaa bra tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom