nimuambie nisimuambie my friend wangu huyu?

Punguza kutembelea michuziblog najua umetoa huko na sasa anaenda Marekani itabidi arekebishe lugha.Nimewahi kusoma kule 'my girlfriend wakike' nikawaza kama mwandika comment ana 'my girlfriend wakiume' pia hahaha!
My girlfriend wa kiume=shoga
 
Kuna njia nyingi za kutatua matatizo ila kwngu mimi nakupa hizi tatu..
1.kukimbia tatizo na linawezekana tu na wengi wamefanikiwa.
2.kupambana na tatuizo na wengi wamefanikiwa pia.
3.kunyamaza kimya ina tatizo litapita lenyewe na mimi huwa naitumia hii
maana huwa sipotezi nguvu zangu kwa wingi

njia hizi ni bora na pia zina madhara kama hujasoma mazingira tofautitofauti
ya kuzitumia na usikurupuke tu inahitaji utulivu.
Nitaitu100 njia namba mbili
 
Back
Top Bottom