nimuambie nisimuambie my friend wangu huyu?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Heshima mbele wanajamvi,ni hivi nina marafiki zangu wawili ambao wao hawajuani bado ila mimi ndio nawajua
Sasa rafiki yangu no 1 alikuwa na my girlfriend wake kwa muda mrefu tu,akaamua kubadili makazi na kwenda mji mwingine na aliondoka na huyu my girlfriend wake.
Sasa rafiki yangu no 2 ndiye niko naye sasa hivi,weekend hii akaniita kwake ili anitambulishe kwa my new girlfriend wake mpya,sasa ile naingia katika nyumba ya huyu rafiki no 2 nikamkuta huyu mwanamke wake mpya ndiye aliyekuwa my girlfriend wa rafiki yangu no 1,nilijizuia na yule mwanamke naye akajizuia kana kwamba hatujuani takatambulishwa tukapata lunch na vinywaji vya hapa na pale.
Binafsi kichwa kinaniuma
1.Nitaanzaje kumuuliza my friend wangu no 1 kuhusu huyu mwanamke wake kama bado wako pamoja au wameachana?
2.Je?nimuambie rafiki no 2 kuwa huyu my new girlfriend wake mpya alikuwa au bado wako pamoja na rafiki no 1 maana bado cna uhakika kama wako pamoja au wameachana.
Nikikaa kimya cku wakija wakikutana maana mie ndiye kiunganishi wa hawa marafiki zangu wawili wataniweka ktk kundi gani maana cri naijua?
 
My girlfriend wa rafiki?My friend wako?Andika lugha iliyonyooka upate ushauri ulionyooka!
 
yani my friend wake namba1 ana my girl friend wake ambaye my friend wake namba2 ndo anaye kama my girl friend wake....hhahahahahaaaaa udhungu bwana.
 
Hizi lugha nyingine hizi bwana, haya kama unamawasaliano na huyo shemeji yako, yani huo binti, ongea naye kiafiki,
Yani ni ile umamwuliza habari yake na ya jamaa mwingine huyo, vip imekua je na mambo kama hayo.
Huyo binti nahisi ni rahisi zaidi kukupa habari yake na huyo kijana mwingine.

Hao vijana waache kwanza, usije ukalikoroga ukashindwa kulinywa.
 
Heshima mbele wanajamvi,ni hivi nina marafiki zangu wawili ambao wao hawajuani bado ila mimi ndio nawajua
Sasa rafiki yangu no 1 alikuwa na my girlfriend wake kwa muda mrefu tu,akaamua kubadili makazi na kwenda mji mwingine na aliondoka na huyu my girlfriend wake.
Sasa rafiki yangu no 2 ndiye niko naye sasa hivi,weekend hii akaniita kwake ili anitambulishe kwa my new girlfriend wake mpya,sasa ile naingia katika nyumba ya huyu rafiki no 2 nikamkuta huyu mwanamke wake mpya ndiye aliyekuwa my girlfriend wa rafiki yangu no 1,nilijizuia na yule mwanamke naye akajizuia kana kwamba hatujuani takatambulishwa tukapata lunch na vinywaji vya hapa na pale.
Binafsi kichwa kinaniuma
1.Nitaanzaje kumuuliza my friend wangu no 1 kuhusu huyu mwanamke wake kama bado wako pamoja au wameachana?
2.Je?nimuambie rafiki no 2 kuwa huyu my new girlfriend wake mpya alikuwa au bado wako pamoja na rafiki no 1 maana bado cna uhakika kama wako pamoja au wameachana.
Nikikaa kimya cku wakija wakikutana maana mie ndiye kiunganishi wa hawa marafiki zangu wawili wataniweka ktk kundi gani maana cri naijua?

habari yako Byarugaba
 
Inakuwaje marafiki zako wanatoka na 'my girlfriend' wako nawe uko mpole tu ? au wewe ni mshikapembe ? wakakuchukulia mpaka 'my new girlfriend' we kweli mvumilivu hahaha!
 
Kizungumkuti mins lugha ulotumia. My girlfriend Wang Sachs my gain yet will tell.
 
Inakuwaje marafiki zako wanatoka na 'my girlfriend' wako nawe uko mpole tu ? au wewe ni mshikapembe ? wakakuchukulia mpaka 'my new girlfriend' we kweli mvumilivu hahaha!
Hujaelewa,huyu ni my girlfriend wa rafiki zangu,wala sio my girlfriend wangu.
 
Mkuu muulize my friend wako no.1 kama bado anakamua huo mzigo, kama bado mwambie huyo my friend wako no.2 kuwa my girlfriend wake anajamaa yake wa longtime ambaye ni my friend wako no.1 at the same time na myfriend wako no.1 naye ajue kuwa huku aliacha kicheche... then hakuna atakaye kulaumu kati ya hao my friends wako wote!!!
 
Ok mkuu lugha za kujifunzia ukubwani zinasumbua kdogo.ahsante kwa kunirekebisha
Punguza kutembelea michuziblog najua umetoa huko na sasa anaenda Marekani itabidi arekebishe lugha.Nimewahi kusoma kule 'my girlfriend wakike' nikawaza kama mwandika comment ana 'my girlfriend wakiume' pia hahaha!
 
Mie ndio nataka niingie huko nijionee mwenyewe. Thanx kwa hii link
 
Mkuu muulize my friend wako no.1 kama bado anakamua huo mzigo, kama bado mwambie huyo my friend wako no.2 kuwa my girlfriend wake anajamaa yake wa longtime ambaye ni my friend wako no.1 at the same time na myfriend wako no.1 naye ajue kuwa huku aliacha kicheche... then hakuna atakaye kulaumu kati ya hao my friends wako wote!!!
Asante kwa ushauri nasaha nitafanya hivyo.
 
mi naona haya kuhusu pigaa kimyaa...unaweza kutaa huyo rafiki yako number mmoja alikuwa anapitaa tu,huko alipo ana kifaa kingine..we mwuheshimu kamaa shemeji yako kwa rafiki yako wa pilii.ni hayo tu
 
huyo my girl friend stil yupo na huyo no.1? Hebu weka mambo sawa!
Hapo ndio bado cjajua maana walibadilisha makazi na kwenda mji mwingine ndio maana kchwa knaniuma nimpigie cmu nimuulize kamabado wako wote au la
 
Kuna njia nyingi za kutatua matatizo ila kwngu mimi nakupa hizi tatu..
1.kukimbia tatizo na linawezekana tu na wengi wamefanikiwa.
2.kupambana na tatuizo na wengi wamefanikiwa pia.
3.kunyamaza kimya ina tatizo litapita lenyewe na mimi huwa naitumia hii
maana huwa sipotezi nguvu zangu kwa wingi

njia hizi ni bora na pia zina madhara kama hujasoma mazingira tofautitofauti
ya kuzitumia na usikurupuke tu inahitaji utulivu.
 
Back
Top Bottom