Nimtoeje maishani mwangu?

ki ukweli,tabia ya kuomba omba sio nzuri.watu wengine hata aibu hawana.na kila anejiuza sio lazima akae barabarani.kama huyo binti,maneno gani hayo ya kusema.ina maana huwa hawafunzwi makwao au mradi na wao waonekane wanaenda na wakati?
 
Wengi wa watoto wa kike wa Vyuo hizo ndiyo zao mkuu Ambassador..

Pole sana..

Mimi kuna rafiki aliyenipa namba ya simu ya mdogo wa mkewe kwa kuwa binti huyo anasoma mkoa niliopo..
Binti alianza kunizoea kwa fujo sana... Kwa kutwa sms 20 au zaidi.. Tukaarrange tukutane live..

Alinishangaza mara aseme hapa tulipokutana pana 'gesti',mara we ulitegemea mi nipoje.. Vituko tu! Baada ya kuagana,vikaanza virungu hasa vya vocha..
Nikawa namtekelezea kwa kutuma mara 500,ila si zaidi ya 1,000.

Baadaye akaniomba 50,000/- kwa ajili ya stationeries za mambo ya chuo.. Hiyo nilimyeyusha.. Akaniuliza kwa njia ya meseji,"..au unataka unile kwanza ndiyo unipe hiyo hela? Ila mi siuzi.."

Akauchuna muda mrefu,siku moja nikamwingizia 10,000/- ndiyo ikawa nimefufua mawasiliano..
Kichekesho kikaja ambapo siku moja alinipigia na kuniambia anataka anipe 'dili'... Akanitumia maseji kuwa anataka 50,000/- alipie mtihani gani sijui.. Na kuwa nikishamtumia yeye atakuja niliko alale na mimi wiki nzima..
(kumbuka huyu mtu wala sijamtongoza)

Nikatuma 45,000. Alipopokea,alinitumia meseji ya ajabu sana kwani aliniambia nijiandae kwa "kuosha kimb**" changu! Nikasema namsaidia denti au namsaidia changu??!
Nikaanza kuandaa mazingira ya kumdanganya nimesafiri ghafla kikazi.. Akalazimisha tu kuwa atakuja.

Ilipofika siku ya yeye kufika ,niliazimia kutopokea simu yake na akisumbua zaidi nimweke kwenye "black list".. Sikuona akipiga wala kubeep.. Kesho yake ikapita.. Mara wiki,mara siku ya 11,12,... Nikawa nampigia hapokei.. Nikajisemea afadhali maana katika vitu ambavyo siviendekezi kivile,ni pamoja na sex..
duh pole yao wazaz coz kuna wadada vyuoni ni machangu kabisa, mh napataga shida sometimes na haka kajina ka wasomi coz wengi wao ndio wanafanya madudu
 
mweleze kistaarab tu kuwa hiyo tabia huipendi na inkukera kama ana akili atakuelewa na atakimbi mwenyewe kama vp, bora umblock, na sim zake potezea, bongo hii kuna watu hawana aibu hasa hawa wadada wa vyuoni na tatzo ni kuwa wanataka maisha flan ambayo yapo juu ya uwezo wao, na hawatak kukubal hlo, mpoteze
 
Back
Top Bottom