Nimtoeje maishani mwangu?

Unamtreat kama mdogo wako?? mbona yeye anakutreat kama buzi lake, dah sijawahi sikia mwanaume anasema anamtreat mtoto mtanashati na mzuri kimaumbile kama mdogo wake...Safi sana hiyo

Kweli mtoto kaumbika, lakini with time nimejifunza kuappreciate tu uumbaji wa Mola bila ya lazima ya kumtamani mtu kingono. Tu watu wazima sasa, wenye majukumu. Angekuta sijatundika daruga I am sure ningemlipua na angelipa kila alichokula.
 
Mnajua kuna kitu ambacho mie kinanifanya nishindwe kabisa kuwaelewa wanaume.............wakiombwa msaada (kupigwa mizinga kama wanavyoita) wanalalamika, wasipoombwa wanalalamika kuwa tunajifanya mamiss independent sasa lipi jema?? Mie kuna mmoja nlimsikia akilalamika kuwa mpenziwe anayejifanya yuko buzy na kazi hawezionana kwa sababu hajamgharamia!!! Eti akadai kuwa kama angekuwa ameshamgharamia hata kwa kumsaidia kodi ya nyumba anaamini yule msichana angemheshimu.

Sasaaa........... hebu ngoja niongeze keroro hapa
 
ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe hebu mshirikishe na SIR GOD sometimes! mimi kuna kamoja kaliwahikuwa kadenti kangu eti juzi kabla ya pasaka kakanitumia sms kuwa kananipenda sana sana ila kabla ya kuambiwa hivi niliwahi kuwa na maongezi nae ya kawaida na akaniambia yuko ustawi wa jamii ila ada inampiga chenga sana baada ya hapo ndio hizo story za kupendana zilipoanza
 
Mzinga reasonable na at a reasonable pace ni acceptable. Tunacholalamika ni ile kila ukisikia sauti ya mtu au ukimeet nae unagongwa mzinga! Sasa hii inakuwa sio njema maana si kusaidiana maisha bali mmoja anakuwa kupe. Vilevile inategemea huyo anayekupiga mzinga mko nae kivipi.
 
Okay nimekuelewa what if anayekupiga mzinga na wewe unamtumia ipasavyo? Kuna thread ya anayelelemika kuwa Boyfriend wake kila wakikutana anadai mikasi.na anatimiziwa sasa huyu naye akiwa anapigwa mzinga kila wakikutana atalalamika kuwa huyu demu mizinga??
 
Mi kuna mmoja juzi kati nilimpa lifti basi jion yake kanitext anataka 50000 eti bum limekata, nikamwambia sina, akasema nowdays simpend eti gari naweka mafuta but yeye kumpa 50 ishu, wakati kipindi nipo college yeye yupo form 6 alinitosa, mimi nimeshajiwekea principal ya friends with benefits ukiwa na heshima na mwelekeo mzuri hata kama sio wapenzi nitakuheshimu na kukusaidia niwezavyio, but wale wa top na jinsi na bb zisizolipiwa service nakujibu kavu sina ili uamue kukata mawasiliano wakati anatafutwa wa kuolewa, hiyo hela bora nikatoe sadaka kuliko kukupa sister duu njaaa
 
watoto wa vyuo ni noma,wao wanawaza hela tu....pole.si umblock tu,akikutext mchunie
 
ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe hebu mshirikishe na SIR GOD sometimes! mimi kuna kamoja kaliwahikuwa kadenti kangu eti juzi kabla ya pasaka kakanitumia sms kuwa kananipenda sana sana ila kabla ya kuambiwa hivi niliwahi kuwa na maongezi nae ya kawaida na akaniambia yuko ustawi wa jamii ila ada inampiga chenga sana baada ya hapo ndio hizo story za kupendana zilipoanza

Enhe! Ulimshirikisha God au mlipeana? Inawezekana mlipena kwanza ukamshirikisha God mwishoni, kwa kuungama!
 
Okay nimekuelewa what if anayekupiga mzinga na wewe unamtumia ipasavyo? Kuna thread ya anayelelemika kuwa Boyfriend wake kila wakikutana anadai mikasi.na anatimiziwa sasa huyu naye akiwa anapigwa mzinga kila wakikutana atalalamika kuwa huyu demu mizinga??

Hiyo naona itakuwa imekaa kibiashara zaidi. Kweli kuna wanaume wengine wanapenda mikasi lakini akipigwa pini kidogo anaruka kimasai. Kama ni mpenzi wako kunakuwa na some level of responsibility lakini isivuke kiasi mpaka kumkera mwenzako na kumfanya akuone huna future.

In the past kuna dada mmoja mwalimu wa primary nilimpenda sana, naona yeye alikuwa tofauti. Hata siku moja hakuwa kuniomba pesa ila mimi nilifahamu fika kwamba ana mahitaji yake na nilikuwa nikimpatia. Siku moja alipata shida kubwa akaniomba nimkopeshe pesa na mwisho wa mwezi alizirudisha nikazikataa. Kuna wadada wengine akikwambia umkopeshe ndo uandike maumivu kabisaaaa! Sijui anataka akulipe in kind wakati wewe ulimpa cash!?
 
aisee nawaogopa wadada wa sampuli hizo...hata sijui umtoe vipi...maana mm nawapitia mbali...sitaki iyo zahama!..
 
Tatizo la binadamu wa hivi ni kwamba kuna anayemla bure na huyu hana kitu ..pengine hela ya gesti na nauli ila mzigo anaupiga kisawa sawa na ndicho anachopendewa ...., pili kuna anayemla kwa kumsaidia material na tuition zisizo rasmi pale chuo... hawa ndio wanaofaidi na ndo wanaopigiwa simu na kutumiwa SMS.... wewe unaye finance utabakiwa kubipiwa tu..... Lol.
 
aiseee!! nipe nami namba yake niangalie namna ya kumstiri hapa mjini kama nitakubaliana nae vitu vichache
 
Labda nikuulize suali kadhaa: Pamoja na mazingira ya kwao kua magumu,

  1. How was she surviving before she met you? Aendelee hivo hivo, na wewe uendelee kua "kaka yake"
  2. unadhani angekua mwanaume angefanyaje in order to meet her daily expenses? Basi hata yeye anaweza kufanya hivo hivo.
 
Back
Top Bottom