Nimshaurije mie

Nambe

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
1,451
528
leo niko na mishe zangu, nashangaa bi mdada huyo
Ni wifi ambaye pia ni rafiki yangu kipenz, kama wiki tatu zilizopita waligombana na kaka yangu ambaye ni mpenz wake, yy akaamua kuachana nae, kwa madai kuwa amaemchoka, ni kweli huyu bi mdada anampenda sana hy my bro na amefanya mengi kwa ajili yake.

kuachana huku kulienda sambamba na kubadilisha namba ya sim, na kujiondoa fb lakini pia na kuanzisha mahusiano mapya na jamaa ambaye alikuwa rafikiye wa kawaida ingawa alikuwa akimtaka siku za nyuma. penz hl jipya likapamba moto so wikend ya wk hyo wakaenda zenj kujipa raha, bi mdada aliporud job j3, rafiki wa mpenzi wake huyu mpya ambaye ni rafikiye pia akamfata kwa ofice na kumwambia kuwa my baby wake ana mawasiliano na x wake( yaan huyo mpenz mpya bado anawasiliana na x gf wake), bi mdada akaamua kumuuliza mwanaume, mwanzon hakukubali ila alipobanwa akakubali kuwa ni kweli kuna tyms huwa anammiss x wake, rafiki yangu wifi huyu kuona hvo, akampiga chini jamaa huyu na kurudiana na my bro ambaye siku zote alikuwa analia akiomba msamaha wa wifi yangu huyu bila kujua wifi alikuwa ameshapata kifaa kipya, so wakarudiana tena.
hii leo wifi huyu anakuja hapa akiwa analia kisa my bro amemwambia hana uwezo wa kuoa kwa sasa na hajui ataweza lini wakat mdada alishatoa taarifa home na jamaa mwenyewe alienda kwa akina mdada mwez wa tano mwaka huu na kudai anataka kuoa mwez wa kumi na mbili mwaka huu
mdada anawaza atawaambia nn wazaz, ananiomba ushaur aachane na bro wangu au afanyaje kwan anaona kama anampotezea muda, wamedate 4 4 years, nimshaurije huyu dada.......................
 
kitu kimoja kuhusu mimi ni kuwa

kama wewe ni best yangu na ikatokea uka date dada yangu
au aunt yangu....URAFIKI UNAKUFA SIKU HIYO HIYO...

Tunasalimiana juu kwa juu tu......

inapunguza stress nyingi kama hizi.....
 
amekuwa rafiki yangu sana baada ya kuwa na my bro
halaf ujue una point coz wakat wameachana na bro wangu, bro alikuwa ananpigia sana akiniomba nimsoundishe sweet wake, yaan nlikuwa najiona msalit balaa coz nlikuwa najua wifi anatesa na njemba ingine na cwez kumwambia hlo bro coz wif naye ni rafiki yangu
ila sasa ndio ishatokea cjui hata nifanyaje yaan, huwa nachukia sana kuwa kwenye situation ya namna hii

na kaka yako akijua
ulijua yuko na njemba nyingine...
atakuona msaliti pia lol

halafu hili jina lako hili....lol
 
hapa nilipo najiona bonge la msaliti, mwanzon tulikuwa tunachat sana fb, video call, bt now hata fb siingii coz cwez kumwangalia usoni vle najiona msaliti

jina langu limefanyaje????
na kaka yako akijua
ulijua yuko na njemba nyingine...
atakuona msaliti pia lol

halafu hili jina lako hili....lol
 
Huyo binti hamfai kaka yako. Mwambie tu aachane naye na baadae mwambie kaka yako kuhusu huyo binti kuwa na njemba jingine walipoachana.
 
Huyo binti hamfai kaka yako. Mwambie tu aachane naye na baadae mwambie kaka yako kuhusu huyo binti kuwa na njemba jingine walipoachana.

from the look of things, inaonekana binti ana pesa ndefu ndiyo maana anabadilisha mijamaa kama mashati wakati kaka mtu yuko 'apeche alolo' ndiyo maana anamng'ang'ania binti..... i stand to be corrected, though
 
kitu kimoja kuhusu mimi ni kuwa

kama wewe ni best yangu na ikatokea uka date dada yangu
au aunt yangu....URAFIKI UNAKUFA SIKU HIYO HIYO...

Tunasalimiana juu kwa juu tu......

inapunguza stress nyingi kama hizi.....

hapo si ndio ushoga unanoga jamani..
 
kitu kimoja kuhusu mimi ni kuwa

kama wewe ni best yangu na ikatokea uka date dada yangu
au aunt yangu....URAFIKI UNAKUFA SIKU HIYO HIYO...

Tunasalimiana juu kwa juu tu......

inapunguza stress nyingi kama hizi.....

huu nao ni ushauri pia
 
mwambie atulie apate jibu la moyo kwani juzi tu katoka kwa jirani kurudi kwa kaka
 
kaka unampenda kaka yako,, naomba usikubali muunganiko wao na huyu binti mwisho wa siku atamletea UKIMWI,,, na mzigo na gharama za kumuuguza zitakua juu yenu... FIKIRI CHUKUA HATUA.. nawasilisha
 
huyo kaka yako sio muowaji....amwache tuu dada wa watu. wee miaka minne bado wangoja nini
 
Back
Top Bottom