Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
- Thread starter
- #21
Nakuambia namuönea huruma sana huyu bro wangu kakonda kawa kama Toothpick.mhh jamani mpaka huzuni....
Nakuambia namuönea huruma sana huyu bro wangu kakonda kawa kama Toothpick.mhh jamani mpaka huzuni....
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi ama sio? Na itambidi astahamili japo anau100huyo kaka ashukuru mara mia,ajue kwamba huyo si mke,kama talaka,amuongezee.ingawa ataumia.
Nashukuru kwa kunipa ushauri wako nasahamwambie bro wako aachane naye, laana itamkuta huko huko pamoja na hao aliowanunua, alaa!
Sawa nashukuru kiongozi wangu kwa kunipa Muongozo huu,nitamshauri hivyoSiku zote nasema duniani kuna wanawake wengi kuliko sisi wanaume,mwambie asichukulie hasira la sivyo atalala jela na hatoenjoy maisha yake, kwanza akate mawasiliano na huyu mwanamke na afanye kitu kingine cha muhimu basi na sio zaidi ya hapo.....
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi ama sio? Na itambidi astahamili japo anau100
Hamna shaka nitamuambia amuandikie talakaWashwasha mkuu mwambie mdogowako haraka sana ampe talaka huyo kahaba na asichelewe mungu kamuonyesha hazarani bado anbembeleza nini. huyo hafawaiiiiiiii namwambie asifanye kitu mbaya itakuwa ajiingiza kwenye balaa tu wala haitapoza machungu yake. zaidi yakuongeza matatizo, mungu atampa mke mungine
amani haitokuwepo tena ktk hii ndoaAsilazimishe ndoa, hiyo ishakuwa balaa, mfano hata huyo mm akikubali kuishi na kakako, je mtakuwa na amani? Ndoa ni amani na upendo achilia mbali pesa japo zina umuhimu maana kula lazima. Cha kufanya taliki, pigana kiume fursa bado ziko kibao, na boom utashangaa umerudi saafi na at that time unatakiwa uwe na bima ya mke.
mie cjui labda muandishi atakuja kutuambia,ila mwenzangu wa mkoa upi?
Huyu jamaa hakuwa na mipango mingi sana ndio maana hakufanikisha hiloDah! That is what it known as "disguise of blessing"
Inavyoonyesha jamaa hajatoa talaka na hao wazee wake wanamzinisha binti yao regardless ya hiyo nyumba waliojemgewa-Lakini kwa nini huyo kakaako alipokuwa anazichanga barabarani(traffic) hakuibadilisha hiyo nyumba ya tembe ya wakweze?
du ntabaki mseja milele,maana ndoa za siku hizi hazina mvuto kabisa:hatari:Nakuambia namuönea huruma sana huyu bro wangu kakonda kawa kama Toothpick.
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi ama sio? Na itambidi astahamili japo anau100
Talaka itabidi akawaachie wakweze maana jamaa kashachukua jumla teyari.pia nitamshauri asianzishe vurugu ktk hiyo ndoa ya my ex-wife wake.kama huyu ni nduguyo kweli, mshauri aandike talaka 3 na kumpatia huyo binti ili awe kamuacha kihalali na kumuwezesha kuolewa na huyo kibosile. Ndoa ni amani.furaha, upendo na masikilizano sasa kama ktk ndoa hakuna upendo na usaliti umebainika wazi ndoa hiyo tayari ni ya migogoro na mateso kwa mtendwa ambaye ni nduguyo. Ajitoe atapata mwingine asihofu, tatizo watu tunaishi kama hakuna kesho,maisha sio leo tu ndio maana kuna watu wana hadi miaka 100 duniani hivyo avumilie siku zitapita na astsahau, na tatizo hilo litakuwa ni historia kwake. kwani ni nani alimuambia bila huyo mwanamke hatoishi au hatoweza ku enjoy maisha na kufanikiwa? Huyo mwanamke na wazazi wake wanataka watu wenye uwezo na si walinzi wa kampuni za ulinzi, sasa hapo bado hajabaini? kwahiyo anang'ang'ania mwanamke anayechangia na mwanaume mwingine?tena mwanamke anamwambia wazi kuwa sikutaki(ndio maana ya kujiandikia talaka inamaanisha kaka yako ni king'ang'anizi). Yeye ajiangaishe kutafuta fedha na kujipanga upya kimaisha baada ya washika bunduki kumtosa, na kuhusu uchungu wa kuporwa mke amwachie MOLA yeye si ni muumini wa dini yake,basi dhuruma hiyo MUNGU ameiona na atamlipia hapahapa duniani