Nimsaidiaje huyu msichana wa kazi?

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,166
1,383
Mwaka jana mwishoni nilipata likizo, hivyo nikaamua kwenda kumtembelea mzee wangu huko visiwani zanzibar. Nilipofika hiyo kulikua kuna beki tatu mzee alimchukua kutoka huku Dar.
 
Last edited:
Maada za kitoto zinatakiwa kuchangiwa na watoto, kadhalika bandiko la kipuuzi linatakiwa majibu ya kipuuzi!
Mimi ushauri wangu ni kwamba acha zinaa, na uwe unatumia maneno yenye staha kwa watumishi wa ndani kwa kuwa nawe una dada/ndugu ambaye ni mtumishi wa ndani somewhere!
 
tatizo hukumwambia mapema kuwa unamega kisela. asingekuganda.

Dah mkuu mbona mi nlikua napiga kistaa tu, na wala ckudhan kama yatatokea yote haya, halaf mbali na yote mi nilijua ntamwacha kulekule zanzibar. Na mpaka leo kurudi kufanya kazi hataki, ametafuta kazi hukuhuku dar na amepata.
 
acha hizo tabia za uzinzi mkuu...
we mwambie kuwa humtaki na akuache....mkaripie kiume.
 
we lofa kweli ulivyokuwa unammega ulidhan nini? akugande tuu akiweza akuharibie mpk kwa huyo dem wako..ungekuwa huna mpango nae ungemwacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom