Nimsadieje huyu kijana?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Kijana mmoja anayesoma kidato cha tatu kanijia kuniomba ushauri.Tatizo lake ni kwamba licha ya kusoma kwa bidii sana lakini anaishia kufeli katika mitihani.Udhaifu alionao ni kwamba anaposoma ukurasa wa kwanza anaelewa vizuri kabisa ila akifunika kurasa ya kwanza na kufunua kurasa ya pili,memory ya alichosoma page ya nyuma inafutika yote.Naombeni ushauri,nimsaidieje huyu kijana?
 
1.Hivi hii ni jokes?
2.Kama ndivyo mbona haichekeshi?
 
Hii sio ucheshi............ Anyway, mwambie huyo dogo asome kuelewa na sio kukariri..... Kifupi anakariri..............
 
Mpeleke kwa wataalum wa saikolojia watamsaidia.Kuna vitu anawaza sana ndo maana anapoteza kumbukumbu kwa muda mfupi.
 
Ajitahidi ku save kaz zake kwenye haddisk, ujue Ram ni volatile, umeme ukizima kazi inapotea. Kama vipi asifunge huo ukurasa, auache wazi.
 
Back
Top Bottom