Nimrod Mkono: Nitaisaidia serikali kupunguza au kufuta deni la DOWANS

Huyu mzee angekaa kimya kabisa akamalizia pesa alizotulamba BOT..
apunguze kama nani na alikuwa wapi siku zote?
kesi alizosimamia BoT walishinda ngapi na yeye alikuwa akilipwa $500 kwa saa!!
amakweli nyani haoni ........

...kwa sisi ma-arbitrator.............hilo ni dau dogo sana aisee.........
 
DOWANS itaibua vioja vingi,.mtuhumiwa wa kashfa hiyo nimrod mkono aibuka kwenye kikao cha ccm na kudai ataisaidia serikali kupunguza au kufuta deni la dowans,..alikuwa wapi??..naye huyu si mtuhumiwa katika malipo haya??
source;gazeti la mwananchi
Nimrod, do we ever need anything the type of your kind assistance with regard to Dowans?? IT is just too late for you to possibly catch a moving train.

Just like Werema's so scornful assertion on the matter on the face of the most passionately inquiring Tanzanian public the other day about a no-license to speak over it, and so are we 'Nguvu ya Umma' today most respectfully telling CCM, Kikwete and all your ilks, we today say the fate of The Dowans most outrageous Scandal is permanently SEALED and the file closed.

Just keep waiting for instructions for your possible next bundling, you guys and with a life-time shame down your shadows in our country's history.
 
DOWANS itaibua vioja vingi,.mtuhumiwa wa kashfa hiyo nimrod mkono aibuka kwenye kikao cha ccm na kudai ataisaidia serikali kupunguza au kufuta deni la dowans,..alikuwa wapi??..naye huyu si mtuhumiwa katika malipo haya??
source;gazeti la mwananchi

Huyu si ndo yule Kofia ya Tarabushi aliyekuwa akilipwa $5000.00 kwa saa akiwa wakili wa serikali wakati fulani huko London???
Mmm! sijui uzalendo wake na ule wa walio iba kupitia kampuni ya Dowans
 
Huyu si ndiye aliyekomba pesa BOT kwenye mkataba wa kumtetea Balali asiende Jela kwa kukataa kumlipa Devram Valambhia akaishia kuchota 30% ya Deni hilo....???..Hatufai...
 
Mimi sina shida kama atafanya awezalo ili nchi isilipe hilo deni, but ningependa kama angefanya probono, meaning iwe ni free legal service na asije kuipelekea bill serekali ya bilioni 10 kwa kupunguziwa bilioni 2. Guys, hili deni ni kubwa jamani 94bn, hizo fedha zinatosha kujenga flyovers pale Ubungo na Mwenge na kumaliza tatizo la foleni kabisa maeneo hayo, lets be serious jamani, kama kuna mtu anaweza kuisaidia serekali isilipe hili deni, lets be it, tuonyeshe moyo wa kumuunga mkono hata kama ananuka mavi ya dhambi ya huko nyuma.

Maandamano ni siasa, yanasaidia kuongeza pressure kwa watawala, lakini pia utaalamu wa kisheria unahitajika kussuplement hizi pressure. My problem ni kuwa wanaweza kusema kuwa hawalipi lakini wakalipa kinyume nyume, mbona waliorudisha fedha za EPA hatujaambiwa ni kina nani na wamerudishaje? So it is possible kwa serekali kufanya kimya kimya. Kila linalowezekana lifanyike, hii mess ni ya CCM and they have to clean it before 2015, na wabunge wanajua hasira watakazokutana nazo toka kwa wananchi 2015. So nadhani ni vyema tukamuunga mkono mheshimiwa Mkono, at least kwa hili

Thanks
 
Huyu mzee angekaa kimya kabisa akamalizia pesa alizotulamba BOT..
apunguze kama nani na alikuwa wapi siku zote?
kesi alizosimamia BoT walishinda ngapi na yeye alikuwa akilipwa $500 kwa saa!!
amakweli nyani haoni ........

$500 kwa saa akiwa TZ akienda nje kwenye case $1000 kwa saa, alichota saaaana BOT, we acha tu
 
hawa jamaa washatufanya watanzaia wote ni watoto ambao hatuna akili hata kidogo ya kudadavua mambo. Wananchi wenyewe tusipo amua hali ya mambo haito badilika. Inatakiwa wananchi wote tukalale nje ya ikulu mpaka kieleweke. :A S-fire1:
 
Mimi sina shida kama atafanya awezalo ili nchi isilipe hilo deni, but ningependa kama angefanya probono, meaning iwe ni free legal service na asije kuipelekea bill serekali ya bilioni 10 kwa kupunguziwa bilioni 2. Guys, hili deni ni kubwa jamani 94bn, hizo fedha zinatosha kujenga flyovers pale Ubungo na Mwenge na kumaliza tatizo la foleni kabisa maeneo hayo, lets be serious jamani, kama kuna mtu anaweza kuisaidia serekali isilipe hili deni, lets be it, tuonyeshe moyo wa kumuunga mkono hata kama ananuka mavi ya dhambi ya huko nyuma.

Maandamano ni siasa, yanasaidia kuongeza pressure kwa watawala, lakini pia utaalamu wa kisheria unahitajika kussuplement hizi pressure. My problem ni kuwa wanaweza kusema kuwa hawalipi lakini wakalipa kinyume nyume, mbona waliorudisha fedha za EPA hatujaambiwa ni kina nani na wamerudishaje? So it is possible kwa serekali kufanya kimya kimya. Kila linalowezekana lifanyike, hii mess ni ya CCM and they have to clean it before 2015, na wabunge wanajua hasira watakazokutana nazo toka kwa wananchi 2015. So nadhani ni vyema tukamuunga mkono mheshimiwa Mkono, at least kwa hili

Thanks

Unasema CCM have to clean before 2015, lakini tokana na jadi yao ya UFISADI ni dhahiri baada ya 2015 wataleta DOWANS zingine. Bora wote CCM wangeondoka sasa hivi bila kusubiri 2015.
 
DOWANS itaibua vioja vingi,.mtuhumiwa wa kashfa hiyo nimrod mkono aibuka kwenye kikao cha ccm na kudai ataisaidia serikali kupunguza au kufuta deni la dowans,..alikuwa wapi??..naye huyu si mtuhumiwa katika malipo haya??
source;gazeti la mwananchi

Huyu babu si mwizi tu naye! Ni jizi tu haina haja hata ya kufichaficha.
 
Wonders shall never end, yaani its just like a COMEDY SHOW vile hivi hii nchi ina Rais kweli Waziri Mkuu atatoa satement yake, Ngeleja atatoa statement yake, Spika atatoa statement yake, Mwanasheria Mkuu atatoa statement yake, Mawaziri nao wanatoa statement zao, Makamba naye anatoa za kwake, Tambwe Hizza naye anatoa za kwake, UVCCM nao wanatoa statement zao huku Kikwete yuko kimya this guy is more than a cartoonist i think i should grab some popcorn and continue watching this movie
 
Huyu babu si mwizi tu naye! Ni jizi tu haina haja hata ya kufichaficha.

To me there is a kind of game which is going on here kucheza na akili za watanzania yaani kwa jinsi ishu ya DOWANS ilivyo na kila mtu anavyoizungumzia mpaka watanzania wamesahau machungu ya mgao wa umeme tuliyonayo si ajabu ukakuta hata huo mgao wanaousema sio mgao au nini ni watu wameamua kucheza dili refer to IPTL
 
Kupunguza? Sisi tunazungumzia kwamba deni lote si halali halafu mtu anatueleza suala la discount hapa! Halafu mimi hainiingii akilini kwamba huyu bwana kuna msaada atautoa maana yeye na watumishi wake wamekuwa wakisherehekea matokeo ya kesi hii kwa sababu tu walinyimwa nafasi ya kuiwakilisha TANESCO na hivyo kukosa fees. Leo ana uchungu gani wa kulimaliza? Anachojaribu kukifanya hapa ni kupata fursa ya kuongea na washirika wake wa Dowans ili ionekane ame-bargain nao na wameshusha deni na ionekane kwamba discount ilikuwa ni massive kusudi ilipwe na yeye aonekane hero na upande mwingine yeye ni kati ye recipients wa malipo hayo haramu. Ukweli ni kwamba hakuna mjadala, haya ni malipo haramu na zitzfutwe mbinu za kuyakataa!
 
MBINU MPYA CCM KUJILIPA MARA 3 SHEA WANAYOISUBIRIA DOWANS KWA KUWAUZIA WANANCHI JOTO JINGI NA GIZA NENE KWA MAVUNO MANONO ZAIDI KARIAKOO:

Jamani zaidi ya mara tatu ya hilo deni geresha CCM wameshaikusanya kwa kuleta mbinu chafu hiyo hapo ya kukata umeme. Kama huamini hili hebu waulize wanamahesabu watakuambia.

Wanachokifanya CCM kwa kuzima umeme masaa mengi ni kwamba wanaenda kwa wahindi Kariakoo kila jioni kukusanya kitenesi chao kwa kutoa mwanya wa kuuza zaidi mi-jenereta feki za kichina kwa bei za juu ajabu.

Katika hii mbinu mpya ni kwamba CCM inaokoa garama ya kuendesha mitambo kibao ya umeme inayotumia mafuta / diesel lakini bado wanapata faida mara tatu zaidi kwa mkondo mwingine wa biashara haramu kwa kuwauzia tu wananchi giza na joto jingi.

Sie huku wana-Mafinga, aaka ni giza tu jeto tunalisikia tu redioni. Wananchi tukomeshe hii biashara haramu ya CCM kutuchuuzia giza na joto kali kwa mavuno manono kuliko ya Dowans kule Kariakoo.
 
Niliwaambia watu siku moja je mnaamini kuwa kweli huu ni mgao wa umeme au kuna kitu kingine nyuma yake, maana mgao wa umeme umekuja hapo hapo ikaletwa DOWANS huku mnadiscuss DOWANS huku mnasahau mgao wa umeme what a trick
 
TINDU LISU hajui sheria. inasemekana hata ufaulu wake pale mlimani ulikuwa wa uchakachuaji mkubwa... sio mimi ni hawa wanaomjua vizuri ndio wanaosema

Mkuu ujuvi wa kazi hauendani na uwezo wa kukariri darasani. Wengine wanakariri vitabu vitakatifu, sijui kama utawaita ma genius. Richard Quest wa CNN alishawahi mwonyesha Kim Peek (nadhani miaka ya 2006, waweza ku google) ambaye alizaliwa akiwa na ubongo wenye matatizo lakini anakumbuka kila kitu anachokisoma, japo hajui maana ya alichosoma, na IQ yake iko chini ya wastani; huyo ukimfanyisha mtihani anapata mia; japo hana akili.
 
Amesema ataisaidia serikali kupunguza au isilipe......atalipa yeye! Fedha hizo anazo! Tunamshukuru sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom