Hapana. Sijaona mtu anamchukia Mkono hapa. Kafanya kweli. Labda watu wakishaona matokeo ya juhudi za Januari nao watakuja kumsifia. Lakini kwa hivi sasa wengi bado incredulous.Huyu naye atachukiwa kwa kujenga shule na kuwapa maendeleo wananchi wake
sababu ni wivu tuu
Picha zilishawekwa bandiko namba #19. Na jumla ya fedha alizotumia nadhani ni $40 million na si $80 million.weka picha hapa
Kwa maana hiyo BILIONI 90 ni kwa ajili ya construction ya shule na kujaza fenicha na kila kitu
sasa watu wa huko kwao wanasema BILIONI 90 NI ESTIMATE ZA CHINI mno
Sina picha za hizo shule lakini kama kweli kaiba na kisha mapesa yenyewe kajenga shule Tanzania na inasemekana kazikabidhi serikali ambayo imeshindwa kuziendesha....mnasemaje wakuu?
sasa kama mapesa yote hayo yametolewa kwa wananchi jiulizeni kiasi gani jamaa kaweka nje ya nchi?
Hivi kweli mtu kama Ndesamburo anaweza kumfikia Mkono kwa investment ya elimu aliyofanya huko Musoma?
mkipata picha zileteni
Ohh I should point out ni PESA ZAKE BINAFSI....na kwa sababu hajawahi kuhukumiwa na chombo chochote cha sheria I assueme ni pesa halali
Huyo ni mwizi walichoma mafaili BOT wakakwapua hela na kukimbili nje, amekaa nchini baada ya Nyerere kung'atuka.Anawarudishia watanzania pesa zao!
Picha zilishawekwa bandiko namba #19. Na jumla ya fedha alizotumia nadhani ni $40 million na si $80 million.
Anazo ndege tatu. They are turboprops.BOQ za shule moja zilikuwa ni $20 million na zilizobaki zilikuwa na round figure ya $22 to $23 million this btw included kujenga na ku equip hizo shule na kuweka umeme
Mwenyewe anasema kuwa hizo ndio zipo on record.Lakini hakujumuisha gharama zinginezo
halafu mtu anakuuliza pesa anatoa wapi...as if hilo ndio swali la kuulizana humu ndani.
Kinachonishangaza ni kuwa huyu Mkono hana GulfStream V kama hii
Anazo ndege tatu. They are turboprops.
Halafu watu tunamwandama mzee wa kikombe kwa kanyumba na kagari alivyotapeli!
Walipochoma benki Nyelele alikuwa wapi? kalala?