Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

toby ziegler

Senior Member
Aug 20, 2011
105
57
mkono.JPG

Kwa maana hiyo BILIONI 90 ni kwa ajili ya construction ya shule na kujaza fenicha na kila kitu

sasa watu wa huko kwao wanasema BILIONI 90 NI ESTIMATE ZA CHINI mno

Sina picha za hizo shule lakini kama kweli kaiba na kisha mapesa yenyewe kajenga shule Tanzania na inasemekana kazikabidhi serikali ambayo imeshindwa kuziendesha....mnasemaje wakuu?

sasa kama mapesa yote hayo yametolewa kwa wananchi jiulizeni kiasi gani jamaa kaweka nje ya nchi?

Hivi kweli mtu kama Ndesamburo anaweza kumfikia Mkono kwa investment ya elimu aliyofanya huko Musoma?

mkipata picha zileteni

Ohh I should point out ni PESA ZAKE BINAFSI....na kwa sababu hajawahi kuhukumiwa na chombo chochote cha sheria I assueme ni pesa halali
 
Alimnunua Mpinzani(CHADEMA)kwa kuwa alijua hashindi uchaguzi mkuu,nabii hathaminiwi kwao
 
Alimnunua Mpinzani(CHADEMA)kwa kuwa alijua hashindi uchaguzi mkuu,nabii hathaminiwi kwao
subutuuu

atumie bilioni 90 halafu anunue mpinzani?

haingii akilini

unless mpinzani wake anaweza kutumia billioni 200 kujenga hospitali
 
Mbona shule zenyewe ni za kawaida tu? I heard aliwekeza kwenye maabara na vifaa vya ICT. Labda pengine ndo sababu ya kuwa na hela hizo Bil. 90. But all in all, huyu bwana alikuwa wapi enzi za Nyerere maana kulikuwa na kesi analipwa toka miaka ileee....after all, going back to Mario Puzo's Godfather...A lawyer with a briefcase can steal more than a hundred men with guns!
 
Bilioni au Milioni 90? Kama ni shula za kisasa zenye maabar inawezekana. Congrats mzee, unajua kuteka akili za Wakurya.
 
Bilioni au Milioni 90? Kama ni shula za kisasa zenye maabar inawezekana. Congrats mzee, unajua kuteka akili za Wakurya.

Shule zilizojengwa na huyu fisadi ukiziona, utazikubali. Majengo yake ni ya kiwango cha hali ya juu na shule zote zimekamilika kwa vifaa vya kufundishia na vitabu.
 
Na hata wafanyakazi wanaopangwa katika hizi shule wanaruhusiwa kwenda na begi tu ikiwa na nguo zao basi na hakuna mzigo zaidi ya huo....kila kila kitu ndani kawaka ndani .....so staff wote hupenda wapelekwe pale wale wa idara ya elimu hata afisa elimu wenyewe hutamani ktk hizo shule za mkono sio mchezo mkuu...........
 
Huyo ni mwizi walichoma mafaili BOT wakakwapua hela na kukimbili nje, amekaa nchini baada ya Nyerere kung'atuka.Anawarudishia watanzania pesa zao!

bora huyu anaeiba na kurudisha kwa mtindo wa watoto wetu wapate elimu na matibabu kuliko wale wanaoziweka kwenye visiwa
 
Huyu bwana ana skendo nyingi sana ukianzia na BOT alikuwa analipwa hela kibao na BOT kwa kutoa ushauri wa kisheria hewa.Pia aliwahi kukopa hela bank mabilion kwa kuweke dhamana na serikali,kuna watu/wanaharakati walikuja juu iweje mtu binafsi anawekewa dhamana na serikali kukopa mabilioni ila hali mkoa unawekewa dhamana ya kukopa bilioni moja tu (mabilioni ya kikwete)

Tafakari chukua hatua.
 
bora huyu anaeiba na kurudisha kwa mtindo wa watoto wetu wapate elimu na matibabu kuliko wale wanaoziweka kwenye visiwa

Haya bana' ila nna wasiwasi na kiwango kilichotajwa milion 90,000?!
 
Wakuu nimefika jimboni kwa mkono nimeona kazi zake yes nimekubali pamoja na mengine the man jimboni kafanya mengi.Si hizo tu na hata shule za msingi nk .Mkono hana mshindani pale kwake tuache kujidanganya .Mimi siipendi CCM lakini kwa mkono kumtoa si kitu chepesi .Kafanya kweli na anakubalika .Mkono hata serikali inaenda kumuomba pesa akiwa jimboni kwake .Mkono huyu huyu unaye muona .Mie namkubali kwa maendeleo yale nimeona mwenyewe na picha ninazo.

Gonga hii link utaona kwa uchache shule zake

Musoma Rural Website.
 
Hivi' Msoma vijijini si ndiyo walikuwa wanashindia kumbikumbi na mbogamboga! Au siyo jimboni kwake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom