Nimridhisheje?

Wanaume tuko too consumed na male ego...it's sad but it is true.

Just imagine eti Nyani Ngabu anapewa mafunzo ya ndoa...what the hell....

...ha ha ha, nakweli!

Btw, hivi kanisani yale mafunzo si ndio ya ndoa au?
 
Wanaume tuko too consumed na male ego...it's sad but it is true.

Just imagine eti Nyani Ngabu anapewa mafunzo ya ndoa...what the hell....

Bora uwe mkweli tu NN!
Nadhani wanaume wengi wako na "open-mind" wanapoingia kwenye ndoa... kumbe you need to have some skills hata kama siyo za kila kitu ...lakini the basics.Kwa mfano mume hapaswi kumtishia mke ati asipopewa atatoka nje! Mke siyo mtumwa wa hilo tendo.
 
...nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.

...Omugasi, ukishatishiwa 'kusaidiwa' unamtuliza vipi sasa huyo shemeji yetu ili asitimize dhamira yake?
 
Bora uwe mkweli tu NN!
Nadhani wanaume wengi wako na "open-mind" wanapoingia kwenye ndoa... kumbe you need to have some skills hata kama siyo za kila kitu ...lakini the basics.Kwa mfano mume hapaswi kumtishia mke ati asipopewa atatoka nje! Mke siyo mtumwa wa hilo tendo.

True..kutishiana hakufai for both couples. Hata mwanamke naye hatakiwi kuleta mgomo wa unyumba. La muhimu ni kushirikiana kama timu (work as a team). And don't be mean to each other. Don't say anything you can't take back.

Marriages are tough y'all and they are not for everybody.
 
Kuna Mkuu Kwetunikwetu hapa JF kaweka kitabu fulani cha zamani sana...The Perfumed Garden" -This is a good resource book... I would recommend it to men and women.Kwa kweli kina mafundisho mazuri sana.
 
WoS, majority ya wanaume hapa ni mid 20s to early 40s... do you think they have time to re-invent the wheel?! Rather late in my opinion. We're such old dogs...new tricks are tricky and arduous!"
 
True..kutishiana hakufai for both couples. Hata mwanamke naye hatakiwi kuleta mgomo wa unyumba. La muhimu ni kushirikiana kama timu (work as a team). And don't be mean to each other. Don't say anything you can't take back.

Marriages are tough y'all and they are not for everybody.

This being mean thing..... I dont think men ever understand women on this.
Yes marriages are not for everyone.
 
WoS, majority ya wanaume hapa ni mid 20s to early 40s... do you think they have time to re-invent the wheel?! Rather late in my opinion. We're such old dogs...new tricks are tricky and arduous!"

...ha ha ha, mkuu unarudisha jezi mapeeema? fainali uzeeni! :D
 
...kwakweli binafsi nawasifu hawa dada zetu kwa uvumilivu, hata ukisikia anaanza kulalama ujue kweli yamemfika kunako shingo! kuna wanaume manunda nyie...

ingekuwa kila mwisho wa mwezi unabadilishwa jinsia kuchukua role ya mkeo...tarehe hizo ningekuwa natafuta safari huyooo..
 
...

...wangetafuta uwezekano wa kubadilishana thru SMS!!
...ungetupa simu?
 
...you know, even that magic blue pill don't seem to work to some!!

...duuuuuh! :D:D:D wakajaribu jamaica black stone! lakini bila maelewano nyumbani utakuwa na hamu hata ya kumeza tembe kweli?

Kuna wazo limenipitia hapa, iwapo kesi hii ndio ingekuwa imemgeukia huyo braza,....yaani mke kila siku anataka, jamaa angekuwa keshaaga dunia!
 
ha ha haaa...:D SteveD, mie simo!

tena haonekani siku hizi, sijui yamemkuta yepi?

...nadhani keshapigika na mambo yakaitikia na sasa analamba udongo na kunyonya ukwaju wa kuagiza toka bongo!!!
 
Back
Top Bottom