Nimpende nani JF

Ninani anajua cinema ya matrix ntakuibukia hapo ulipo kwenye PC yako Preta!!ohooo matani sitaki moyo wangu unataka kuufanyeje ukizima wewe utapata faida gani!!unababaika na hayo maembe??mimi dafu kumbuka!!
 
hahahahahaha...nini Matrix...tumeona X File...Preta usimsikilize kakakiza...baki kwangu mamaa
 
Ningeelewa ningekaa kimya. Ukiona nimeuliza maana yake sijaelewa... :)

Nina hofu..raia watakusumbua/means unakubalika sana...ila humzidi Preta..kubali kataa
 
hahahaha, nimekuelewa sasa. Kwa kweli Preta hata mimi namkubali.
Amini usiamini wanaume wanavutwa zaidi na michango, sio avatar...
Mbona Husninyo hana Avatar na bado anakubalika? AshaDii kafunika uso ila anakubalika pia? Bht ana avatar ya kiume ila nayeye yupo? avatar bila kichwa is nothing.
Hivo hata hii ya Mwali haitosumbuliwa ila kwa michango atakayo toa.
 
kuna Jamaa anaitwa Saint Ivuga, kila mdada mpya humu jamvini anatakiwa aripoti kwake. Usharipoti?
 
Mimi tofauti kidogo. mwambieni nitakua free kesho saa 4 na nusu hadi saa 5 kwa kumpokea... aje na acreditation letters toka kwa JF founders, laa sivyo atageuzia getini. lol
 
hahahahahaha...nini Matrix...tumeona X File...Preta usimsikilize kakakiza...baki kwangu mamaa
Preta nakuomba utamke azi hapa hata wazazi wako wasikie hapa!!Huyu jamaa sijui nani???
quote_icon.png
By mtu chake
Utwambie wapi ulipo!! kati yetu!!halufu ya damu naisikia kwambali!!
 
Mi ndo nakontrol hii maneno..
Pigeni saundi saaaana, lakini mwisho najua mtanitafuta miye ili niwafikishe anapoishi au kuwapa namba zake muanze KUMDIPUDIPU!
Kwa hiyo ukipanga bajeti ya full-tank kwake ujue lazima uongeze half tank kwa mshenga!
 
Nimpende nani...Nimpende nani

wazuri JF ni wengi ila kupata wa ukweli ni balaa
wengi nia wajanja watoto wa mjini wamejaaa Tamaa

asiwe kama FF kila kitu kupinga,awe kama Preta..ili nipate raha
sio Mwali naogopa kila mtu atamkubali....

JF chit Chat....
unataja taja tu majina ya watu wa watu
 
Back
Top Bottom