Nimpe ushauri gani huyu?

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Wakuu nimepigiwa simu asubuhi hii na jenerali wa anga na nchi kavu a.k.a mzee wa route a.k.a kamanda Sijali a.k.a ****** a.k.a Mzee wa kaya a.k.a shauri yenu a.k.a handsome boy a.k.a Mzee wa visasi a.k.a mzee wa vidosho a.k.a Baba Riz1 ananiomba nimpe ushauri kuhusu kuongeza a.k.a zake nyingine, nimemdanganya kuwa niko busy anitafute baadae lkn lengo langu nikutafuta ushauri huku.

Sasa wakuu nipeni a.k.a zote zinazomhusu huyu J.K
 
Back
Top Bottom