Nimfanyeje? naombeni ushauri haraka

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,856
6,215
Jaman kuna kiongozi mmoja wa chama cha magamba anaeongoza kwa kusinzia sana bungeni, ana kashfa ya kutembea na lulu yupo chumba cha jirani hapa nilipo anafanyiwa matibabu,

Najua kwa tanzania kupata nafasi ya kuwa nae karibu ni ngumu but hapa india tunapiga piga hata stories as kiswahil kinatuunganisha, sasa mimi moyon simpend nataka nimtie adabu kabla sijasepa. Na anazidi kunikera kwa story zake za kimagamba eti akirud bungeni atahakikisha Tanzania iwe na flyover kama za huku, atajenga hospital kama hii tulipo na watanzania watatibiwa bure aaagh na nyingine kibao

Nilikuja na b mkubwa ye ashamaliza matibabu nimemwambia atangulie siku moja ili nipate nafasi ya kumtia adabu huyu mzee kisha nisepe kesho yake. Na ticket nimeshakata ya ijumaa sasa siku iliyobak ya kumtenda ni kesho tu. Naomba ushauri wa haraka wana chit chat
 
Siasa za kistaarabu hazina category ya kudhuru au kuhujumu affair ya rival wako!
Kufanya dhara itapelekea wenye fikra finyu kudhani hata kitendo cha kinyama alichofanyiwa Dr Uli kilikua halali, Wakati sivyo. Unyama ni unyama tu ! Bila kuzingatia umetokea upande gani .
 
mng'oe kucha na meno! maliza tu!, mi i support u, maana mtoto wa nyoka ni nyoka!
 
mng'oe kucha na meno! maliza tu!, mi i support u, maana mtoto wa nyoka ni nyoka!

Kwa view hiyo, siku huyu mtu unaemwambia afanye hivyo akiingia "nyumba nyeupe"
nadhani tutakosa hata ardhi ya kulima, maana land yote itakua graveyard ya wapinzani wake.
 
vp anaimba imba tunyimbo twake tule,? cha kufanya hiyo keshc muwekee mkono kichwani muombee/mfanyie dua apone haraka, Si ndo yule aliyesema ngumi zao ni nyingi bungeni!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom