Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

Kama ni kweli basi huyo jamaa ni muhuni tu na hana nia ya dhati na wewe..,kwani kipindi hiki kijana muoaji hujitahidi kutokomeza chochote line za simu,picha na hayo majiguo nk...
 
Hongera kwa kusanda mapema kwamba hajala tunda/kitumbua/andazi lako, lakini hata kama angekula sio mbaya kwani huwa haliishi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom