nimfanyeje huyu dada? nahisi anataka kunigeuza atm.

Hata wewe una makosa mara mapenzi yamekwisha mara yanarudi nini tena. Halafu uongo wa nini katika mapenzi? Huna kazi mwambie bado sina kazi na hali yangu ni ya kubangaiza.

Umeleta usharobaro basi vuna ulichopanda,
 
Kwanza uko single......pili unamuimpress kwa saaana!! Istoshe we hujielewi elewi....yaani wampenda ila hutaki kuadmit hata kwako we mwenyewe!!! Ebu jitazame upya na utoe msimamo wako.

we mtoto nimekumisije lol.
 
umeshaona mamba kapanua mdomo bado unajipeleka ka mbwa kaona chatu au fisi


Fungua turbo baba aone vumbi.
 
We simpe kubwa man ila unaonekana na wewe umempenda siku zote hizo unavumilia tu.Wagharama huyo shauri lako utembelee nguo ya ndani
 
Siyo kosa lake, bali anaamini pesa zote za benki ni zako!

Ah wewe utawezaji kumfurahisha demu wa mtu, usikute ana memi ambaye humpa pesa anazotoa kijana wa watu. Achana naye kaka mademu wazinguaji hawana huruma
 
Back
Top Bottom