nimezaliwa tena

Asante pia kwa kuliweka sawa hili....ulivyosema mwanzo nilikuwa napata impression kwamba kuna mtu 'somehow' ame log in kwa kutumia credentials zako("hacking"). Nilianza kuingia woga......kwa kuwa kuna wadau kama wawili wengine nimewasoma wakilalamika IDs zao 'kutumiwa'.
hapana mkuu kosa lilikuwa langu na nimeomba msamaha kwa mods kwani wanadai ni kosa kisheria hapa jf kumpa mtu asie member acces ya kupost jukwaani ilikuwa nipewe ban ya milele
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hata mimi kama nakumbuka hivyo...kabla hata "sijamfahamu" bebii nakumbuka kulikuwa na member anajiita "Smile"!

Lakini hili la watu kulalamika ID zao kutumiwa na watu wengine linaanza kuleta mashaka...pengine ni wakati Mods wanaweza kusaidia kuliweka sawa....kama lina ukweli ama la.

mkuu unajichanganya.yule mtoto anaitwa "smiles" sio smile.mia
 
jamani waungwana kuna mtu alikuwa anatumia id yangu kupost humu jukwaani bila idhini yangu nimechange id yangu ya bebii
Kwa hiyo yule bebii aliyetangaza kuwa anasaka mume humu si wewe? au ulitangaza kabla id haijachakachuliwa
 
jamani waungwana kuna mtu alikuwa anatumia id yangu kupost humu jukwaani bila idhini yangu nimechange id yangu ya bebii

walikuhack?kwanini usingebadilisha password?paw ndo kakushauri?ahaa!!..kumbe ndo maana kila nilipokuwa nakuchumu ulikuwa huchumwiki kila nikijaribu kukuchumu huchumwiki.asante kwa taarifa.ntakupm mkuu.mikandamizo ntaiendeleza kwenye hii id.
 
Mi nikajua birthday yako...manake niliandaa bonge lla kadi hapa!! Kumbe...dah JF bana..hongera SMILE
 
nahisi nachanganyikiwa!!! utazaliwaje upya bila mama yako wa ubatizo kujua?!!!
 
Back
Top Bottom