Nimeyavulia maji nguo na kuyaoga...

denim kagaika

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
228
31
Nimeingia rasmi kwenye jf na natarajia kuchangia mengi na kupata mengi kwenye hii forum. Ngoja nioge halafu nivae nguo fasta kabla ma-cameroon hayajaninyatia...
 
Hi utadhaminiwa kuoga na hata kupakwa wese
acha woga kijana.........
 
Ila jiandae kuwa na ngozi ngumu kama ulivyojihami na come-men in room (cameroon)
 
Back
Top Bottom