Nimeyajua Machungu ya BAN!

Hahaha nataka nifikishe muda mrefu bila kusababisha hiyo ban

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Pokofame karibu sana
jifunze kutembelea majukwa ambayo ni stress free zone maana kuna mengine ukiingia tuu lazima matusi yakutoke
ukijibizana na zomba au Ritz ujue hapo ban inakuhusu

Huwa tunawapa nondo mpaka matusi yanawatoka. Si mnajulikana, magwanda wanapokuwepo lazima fujo zitokee.
 
zomba hapo kwenye bold aise mbona unaniwekea status ambayo sipo
policcm ndo waanzisha fujo bana si wanajulikana kwa kusema marehem aliangukiwa na kitu kizito au alipigwa na kitu kizito kinachorushwa
Sasa zomba kama mtu amenyanyua mikono juu na hana silaha kumpiga na bomu la machozi au risasi ni ya nini
Maana ashakubali yaishe au kwenye mafunzo yao hakuna msamiati huo kuwa mtu ashanyanyua mikono juu
 
Last edited by a moderator:

Ukiambiwa ondoka, unaondoka ukijidai wewe mpiganaji wenzako wanafanya kweli. Hapo sasa!
 
Mkuu zomba tungerudi kwenye uhalisia wa ufanyaji kazi wa hao jamaa sidhani kama kungekuwa na aibu hii tunayoipata
Wangerudi kuwa watendaji wa kazi walizofundishwa kufanya na sio amri kutoka juu kuwa kafanye hivi
Hapo ndipo wanapoweka akili zao na kile walichofundishwa pembeni wanatekeleza amri iwe mbaya au nzuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom