Nimewaweka mademu sita on hold

hao sita kama ni wa jf
ni mmoja tu ana id ishirini...
kazi kwako lol

Hana mpya huyo, kama mjanja amweke kwenye hold Lara1!!

Wenyeji hapa Jf tumeshajiweka sawa, hakuna kutanga tanga, Jf is home, one man ,one gaal, baas ndo mpango mzima!! Ni ishara kuwa haaminiki, na kama huaminiki basi huwezi amini wengine!!!

Afuatilie comment za Lara1 ndo atajua huenda na yeye kawekwa kwenye angle ya hold ya wadada wa kileo!!

hamuna sababu ya msingi kwa mtu mwenye mtazamo chanya anaweza kushabikia kuwa na mpenzi zaidi za 1 ni sifa/maendeleo,
 
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

mwana dada poa ndio dili hawa wengine uzushi mtupu cimmitment za kiseng* alafu bado mijamaa mingine itabatya tuu. not to mention kuimbishaaa wakati ukiwa na upene wako unaoata raha mapema saves time and headaches.
 
Yamekukuta ndugu? Jf ni kwa kuenjoy. Pagumu kuanzisha mahusiano.
 
Zombi halitosheki wala haliombi damu
mwana dada poa ndio dili hawa wengine uzushi mtupu cimmitment za kiseng* alafu bado mijamaa mingine itabatya tuu. not to mention kuimbishaaa wakati ukiwa na upene wako unaoata raha mapema saves time and headaches.
 
Kumbuka shangazi mama zako wadogo hata dada zako nawe wanafanyiwa hivyo. Is it funny eenh? Go ahead mtakutana guest house ndipo utakapoelewa unachofanya. Ni ushauri tu.
 
Wakati watu wakiringia na kutafuta pesa we unaringia chupi,tena kwenye hii dunia iliyojaa virusi,kila la heri tajiri wa bikini, Ptuuuuuuuu
 
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana
hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

kufuata dada poa sometimes ni tabia ya mtu.
Hivi unajua kuna watu wanaacha wake nyumbani wanafuata dada poa?
Hivi unajua kuna watu wana ma-dame babu kubwa na bado wanakwenda kwa dada poa?
 
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

Thread yako haina uhusiano na unachosema, kuwa na mademu wengi ni ufahari? au ndiyo walewale wanaotuongezea watoto wa nyumbani(mitaani), me siwaiti wa mitaani kwani baba zao wapo na mama zao wapo, na wamezaliwa nyumbani, kuna mambo ya msingi ya kufanya lakini siyo kukaa na kuwaza mapenzi tu, hapana, ****NCHI HII HAITAENDELEA IKIWA TUTASHINDWA KUTUMIA VIZURI AKILI ZETU, RASILIMALI NA MUDA***
 
Hana mpya huyo, kama mjanja amweke kwenye hold Lara1!!

Wenyeji hapa Jf tumeshajiweka sawa, hakuna kutanga tanga, Jf is home, one man ,one gaal, baas ndo mpango mzima!! Ni ishara kuwa haaminiki, na kama huaminiki basi huwezi amini wengine!!!

Afuatilie comment za Lara1 ndo atajua huenda na yeye kawekwa kwenye angle ya hold ya wadada wa kileo!!

Endelea kujidanganya, usidhani kila ID ya kike ni Mwanamke tutusa wewe.
 
hovyo! nawe unazunguzwa sana sema 2 hujijui! Loh pole sana.
 
Endelea kujidanganya, usidhani kila ID ya kike ni Mwanamke tutusa wewe.

Hahahah!! Hukunielewa mkuu, Lara1 awe mdada au mkaka si hoja kwangu, ishu ni comments zake, hata kama ni mwanaume lakini anawakilisha mawazo ya wadada wetu wa siku hizi!! mwanzisha thread nilitaka ajue hata hao 6 wake, huenda nao wanjisifu kuwa wamempata ***** na wamemweka kwenye angle ya hold kama Lara1 anavyojipambanua!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom