Nimewaweka mademu sita on hold

whadaf..... is this? :evil: kuwa na vidumu nayo ni sifa ya mwanaume au hao ni wale wadada wenye low self esteem ambao wanadhani wewe ni God's gift to women.
 
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

Kuna wimbo aliimba mgosi Mkoloni unaitwa SIFA ZA KIJINGA kama kuna mtu anao auweke hapa jukwaani tuangalie kama verse zake hazihusu huu uzi...
 
hivi shule zinafunguliwa lini??? wanywa vijoti bado wapo kwa kitaa?? kazi ipo!
 
sweetlady

Naona umeungana na shosti wako Smile kunishambulia......Lengo La Thread Hii Ni Kushangaa majamaa desperate wanaotafuta Dada Poa Wakati mm nina wazungusha na kuwapotezea kama mademu sita hivi.....

Are u nut, I think my daughter is crazy not geting well in school because of you. You must be kaka poa,.
 
Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana
hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

Ukishabadili mindset nadhani ndo tutaelewana. mi nilijua unashauri watu waoe, kumbe kutafuta demu!!! tena wa kung'onoka naye!!?? Naona unazidi kupotosha watu tu humu. Wewe umeoa ama una demu?
 
sifa za kijinga unajivunia wingi wa k za bure wenzio wanajivunia kubadil na kufanya dunia mahal salama kwa kila mtu kwel we differ
 
...Sasa ndio nini kuweka kichwa cha habari ambacho hakiendeani na habari yenyewe!!!! Acha hizo!!!!

Helllo My People

Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui kutongoza (Domo Zege).....yaani mademu wote hapa Dar unashindwa hata kuanzisha relationship na mmoja wao.....kisa mkasa kutafuta Dada Poa ambao mwisho wa siku watakuachia maradhi yao......tafuta demu wako wa ukweli muende mkapime then munong'oka kwa kujiachia.....

Similar Discussions

Back
Top Bottom