Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 645
- 260
Afadhali wabunge wa CCM wanajua kurudisha fadhila! Hebu tuambieni hizo za wabunge wa CDM huwa zinaenda wapi?
Hakuna cha fadhila ni corruption na ufisadi tu. Pua ndefu utafikiri kisim-
Afadhali wabunge wa CCM wanajua kurudisha fadhila! Hebu tuambieni hizo za wabunge wa CDM huwa zinaenda wapi?
Afadhali wabunge wa CCM wanajua kurudisha fadhila! Hebu tuambieni hizo za wabunge wa CDM huwa zinaenda wapi?
Mbona haueleweki ulichokiandika.[/QUOTE
Mkuu nilichoelewa mimi ni hiki kwa upande wangu
1. Mikutano bila kusomba watu kwa magari hakuna atakayehudhuria, kifupi watu wameshachoshwa na maneno maneno tu hivyo kutokana na hilo ili kupata watu lazima ugharimie, ugahrimike na ikiwezekana uwalipe.
2. Enzi za kudanganya imekwisha, maandalizi ya kuhutubia watu ni lazima yafanyike vinginevyo watu wataaibika kama siyo kutoabishwa
3. Ni dalili kuwa mwaka 2015 kutakuwa na kazi kutoa hesabu ya yaliyofanywa katika kipindi cha miaka mitano, kukubalika hakutotegemea kujua kuongea bali umefanya nn .
Leo nimeshuhudia kitu ambacho kwa miaka mingi nilikuwa nasimuliwa tu. Mbunge wa jimbo la Tunduru kusini-Eng. Ramo Makani(CCM) ambaye alikuwa "mwenyekiti kamati ya Jairo" anafanya mkutano wake sasa. Cha ajabu mkutano umefurika akinamama, watoto na wazee, na vijana wachache sana. Malori ya kubeba mchanga yanaendelea kusomba akina mama kupeleka eneo la mkutano (maarufu kama baraza la IDI) muda huu hapa mjini Tunduru. Kubwa zaidi leo ni sherehe ya vijana wakodisha pikipiki(boda boda) kwani pikipiki karibu mia mbili zimenyweshwa mafuta na CHAMA CHA MAPINDUZI huku wakipewa pesa (10,000) kila dereva pikipiki.................MHESHIMIWA KAPIGWA SWALI "kwa nini tangu 31 octoba mwaka jana hajaja?". Mheshimiwa kajitetea kuwa haina haja ya kuja ila yeye atakaa Dar es salaam tu anahangaika mawizarani kutafuta "MISAADA". Sijui misaada gani.