Nimewamiss....

hahah......Sweetlady alie tu, labda kama Cookie anahusika LOL!! Btw, mie mzima japo mafua na kikohozi vinanitishia amani!! Habari ya wewe chipenzi?

pole sana kipenzi. Upate dawa na mapumziko ya kutosha. Wish u a quick recovery.
 
Habari ya Mtwara nahisi ulikuwa umejificha porini mno mpaka ukakosa network.

Lakini miss you so much

We Dena usitaje huko, natafutwa sana...haya futa haraka hiyo Mtwara....hahaaaa, usiogope bana!! Nilikumis mbaya yaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom