Dah Sweetlad.....we acha tu!!, nilikuwa ndani nadani huko kwa wandendeule......mipakani kabisa yaani, we acha tu!!
Thanx...chukua zawadi yako hii.....
Hahaaaa...umen'chekesha sana!! Haya bana!! Huko ni maharage na miwa tu...kwa kina mpoto!!
:flypig:kazurije sasa :flypig:Kumbe wapendwa na nyie m-linimiss hivyo?? Haya..tanx sama Miss CUTE!!