Nimewamiss Voice of Reason na Allien

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Wapendwa mmepotelea wapi? Au mmekwenda Loliondo mana huko ndo hakuna network ya mtandao wowote.

I have missed u guys in JF
 
Wapendwa mmepotelea wapi? Au mmekwenda Loliondo mana huko ndo hakuna network ya mtandao wowote.

I have missed u guys in JF

Lakin nakumbuka hawa walikuwa wanaku-challenge mpaka ukawa hujisikii fresh kutokana na sredi zako
Mi nakumiss sana hapa JF coz wewe ni mtu wa kipekee sana tofauti na wadada wengine
 
da sophy uko wapi da sophy? sekreti admire wako naumia da sophy. nihulumie jamani uludi.
 
Allien yupo leo , na wewe ulikuwa wapi? tulikumisije
 
Bht yuko wapi??Da Sophy sijui mtoto anatambaa au ndo fundi viatu hatujui maana hajaja kutujuza kulikoni au mwenye mtoto kamkataa mme wa mtu.?
 
Dah kweli jamani, wanaojua Voice alipo wamemwambie tumemmisi sana, Allien babu uko wapi jamani, na mmisi Superman, hashy njoo tuwekee zile picha picha basi jamani....dah Paka mweusi njoo utupe story ya utumbo wa mbuzi....au kisamvu na nyanya chungu!! Michelle mi natamani kuiona sura yako....
 
Back
Top Bottom