Nimewamiss sana JF members

Babu lockup? du! kama nakuona vile.................... uliwekwa na bibi, au? welcome back, tulikumiss pia

We acha tu FP,

Bibi ni kibogoyo sasa..nyama hali tena..anashangaa shangaa dotcom wanavyochakachuana...Ni masahibu tu ya hapa duniani ndo yalinisibu ila kila kitu ni mswano sasa!
 
We acha tu FP,

Bibi ni kibogoyo sasa..nyama hali tena..anashangaa shangaa dotcom wanavyochakachuana...Ni masahibu tu ya hapa duniani ndo yalinisibu ila kila kitu ni mswano sasa!

yote mema babu, tunashukuru tu umerudi salama maana hawa madotikomu ungeweza ukaishia huko huko.
 
Bandungu wapendwa,

Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...

Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!

Hebu nambieni jamani...nani kawaona wajukuu zangu akina Maty, Musinga, Smile; Teamo na Rose hao nimeshawamuona.

Na hawa je?....Nyamaya,Asprin, PJ, Askofu, Rev. Masa, Bht, JS, MJ1, FL1, Baba_Enock, Invisible, Finest, etc,

Tafadhali wambie wote kuwa nawakumbuka sana na pia nawapenda sana.

Mungu awabariki sana, muwe na week end njema tena ya mavuno ya kutosha,

Babu DC (1947,
MIJITU mingine bana......ukiwamiss si uwaandikie PM bana.....ngrrr wajaza server kwa post za kikuda
 
yote mema babu, tunashukuru tu umerudi salama maana hawa madotikomu ungeweza ukaishia huko huko.

Hiyo imebaki ni historia FP,

Kama mvua na radi hakuna ambayo hatujaona...kwa hiyo tuwaachie sasa wenye nji yao wachakachuane...

Najua Finest atakuwa anafurahi sana tunapowambia waendelee bila kujali kuwa tunahimiza wakumbuke kuvaa helmet kila wanapopanda bodaboda na hata tukutuku!
 
MIJITU mingine bana......ukiwamiss si uwaandikie PM bana.....ngrrr wajaza server kwa post za kikuda

Duuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Of all the people mshikaji wangu (YOYO) ndo umeamua kutoka namna hiyo???

Sasa PM ya wana JF wote unaitumaje?
 
Hiyo imebaki ni historia FP,

Kama mvua na radi hakuna ambayo hatujaona...kwa hiyo tuwaachie sasa wenye nji yao wachakachuane...

Najua Finest atakuwa anafurahi sana tunapowambia waendelee bila kujali kuwa tunahimiza wakumbuke kuvaa helmet kila wanapopanda bodaboda na hata tukutuku!

kweli babu hakuna jipya
 
DC..DC..DC...najisika furaha ya ajabu kukuona tena jamvini......kutokuwepo kwako niliku-feel kwa sana....karibu sana na pole kwa masahibu yaliyokukumba........a kiss for you DC.....:A S kiss:
 
Ukimegwa huwaga unatulia na kuandika sense kidogo....kudos Kanumba

OP, hakuna haja ya kufikia hatua hiyo. Tuko wengi hume JF na tunatofautiana sana. Just take it easy vinginevyo unaweza kupasua screen yako kwa hasira ukaishia hasara.

mh kazi kwey kwey,msamehe kaka,si kila siku ni jumatatu,hujui kaamkaje!!!

Ahsante Musinga,

Haya ni mambo madogo na dawa yake ni kuyapotezea tu. Kwa umri huu si rahisi kupandishwa pressure na opposing views kama hizo. Ingawa wakati mwingine inakuwa si lazima mtu kandika kitu kwenye thread ambayo anaona inamkera.
 
MIJITU mingine bana......ukiwamiss si uwaandikie PM bana.....ngrrr wajaza server kwa post za kikuda

Hivi kwani niulize tu, kwani lazima kusoma kila post/thread (no hard feelings)? labda kama ni utani kati yako na DC hapo sawa lakini kama sio.....then let people be mmh?
 
DC..DC..DC...najisika furaha ya ajabu kukuona tena jamvini......kutokuwepo kwako niliku-feel kwa sana....karibu sana na pole kwa masahibu yaliyokukumba........a kiss for you DC.....:A S kiss:

Duuuuuuuuuuuu, ni wewe JS,

Hope uko mzima na Mnganda umemalizana naye salama bila haja ya kuwepo casuality (either way)!

I really missed this house and all the great buddies.

Have a wonderful "Thanks giving day"!!!!
 
OP, hakuna haja ya kufikia hatua hiyo. Tuko wengi hume JF na tunatofautiana sana. Just take it easy vinginevyo unaweza kupasua screen yako kwa hasira ukaishia hasara.

Usiwe na shaka huyo ni mtani wa jadi na hakuna hasira wala nini. Ni kwamba tu bado ana kinyongo baada kuzidiwa kete katika hekaheka za kufukuzia totoz moja ya Kisukuma.
 
Duuuuuuuuuuuu, ni wewe JS,

Hope uko mzima na Mnganda umemalizana naye salama bila haja ya kuwepo casuality (either way)!

I really missed this house and all the great buddies.

Have a wonderful "Thanks giving day"!!!!

Happy Thanksgiving day too DC.....

ile ya Mganda ile bado nakomaa naye tu hapa...long story

Lakini am still holding on to my principles DC..still holding on...
 
Usiwe na shaka huyo ni mtani wa jadi na hakuna hasira wala nini. Ni kwamba tu bado ana kinyongo baada kuzidiwa kete katika hekaheka za kufukuzia totoz moja ya Kisukuma.

Ohhhh OPP,

Mimi sikujua. Ana hasira na wewe au na wana JF wote? Mbona wengine tulishastaafu na hatutafuti totoz humu JF?

Hata hivyo hiyo ni mojawapo ya raha tunazozikosa tunaposhindwa kuingia JF. I missed many more similar to this!
 
Happy Thanksgiving day too DC.....

ile ya Mganda ile bado nakomaa naye tu hapa...long story

Lakini am still holding on to my principles DC..still holding on...

Nakuaminia sana JS,

Wewe ndo driver wa hilo gari lako la gharama kubwa mno ambalo hakuna mwingine analo hapa duniani. Ukiamua kuliingiza mtarano ni wewe tu. But hope things will be more than fine with you.

Stay blessed.

DC
 
Back
Top Bottom