Nimewamiss hawa watu Jamani

Daaah yaani roho ilikuwa inaniuma hujasema lolote mpaka sasa. Kweli kumebadilika hiyo Avatar mpya duuhh kweli nilimiss sana
This days Afro kanibana sana nikigeuka kulia yupo, kushoto yupo, nyuma yupo, mbele yupo
 
Miss u too dia mbona ulipotea hivyo jamani mwe? karibu tena jamvini mpenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom