Nimewakamata wezi wa ajira mtandaoni!

kukomesha watu kama hawa, kwa nn usimripoti polisi, hoping watamshughulikia au watamtoa upepo- vyote ni adhabu tosha !!
....Interesting katumia jina la Mboma, kumbuka huyu m-meremeta ana miradi ya machimbo... mmmmhh !! Hapa kuna pazuri pa kuanzia...

Wazo zuri ngoja niangalia utaratibu wa kumripoti huyu bwana...mwivi mkubwa
 
Shida yako ndogo inaweza kukuzalia kiama. tuwe makini sana. Ila ukiwa makini hata anavyoongea tu unaweza mkamata.
 
Aagh hiyo ni ngumu,kwa mfano huyu mshkaji akijifanya kama kiswahili hajakizoea vizuri ingwa anaongea na anachanganya na kidhungu!!!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha utaanza vipi kutoa pesa kabla ya kazi na hata mtu mwenyewe hajuani??jaribu uliwe he he he he
 
Back
Top Bottom