Nimewafurahia sana australia

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
NIMEONA KWENYE TV WAMEQWAPOPOA MAWE NGUMI BAKORA VIONGOZI
WA SIRIKALI YAO
KISA ETI NI SIKU YA KUSHEREHEKEA UHURU WAO AF WAO WANADAI HAWAJAONA UMUHIM WA KUSHERWHEKEA WAKATI
MAHITAJI YAO MUHIM HAKUNA,NA KATIKA HEKAHEKA HIZO WAKAKUMBANA NA WAZIRI WAO MKUU KATIKA MGAHAWA MMOJA MJINI HUMO
WAKAMPOPOA MAWE MANGUMI KABLA YA KUOKOLEWA NA ASKARI!
MWANAMAMA MMOJA AKAAMUA KUMRUSHIA
KIATU AMBACHO BAHATI NZURI HAKIKUMPATA

NIMEFRAH SAAANA
SI HAPA ETI MIAKA 50 tunang'aza sharubu na kukenyua meno tuu.

source tbc habari
 
Ungesikiliza bbc ungechoka
kuna waziri kajitangaza waziri mkuu alafu kuna kamanda mkuu wa jeshi sijui la majini ama lah nae kajitangaza amiri jeshi mkuu na yule wa ukweli kafungiwa ndani kwa muda upepo wa marekan unasambaa si mchezo
 
nilipenda mimi niwe wa kwanza kumpiga waziri mtama

hahahaha yaani ilikuwa kama movie
zile kali za kina samuel jackson! Wamemtoa nduki
askari akabebwa mzobemzobe mpaka garini na wananji wakawa wanalikimbiza gari, nim$ewaonea dongeee
 
kwa wenzetu viongozi wa serikali hawatumii rasilimali za serikali kwa ovyo kama bongo
ni kawaida kukutana nao barabarani wakitembea na hata kama kuna dhifa muhimu
barabara haziwezi kufungwa kisa viongozi wanapita.afrika bado viongozi
hawako huru kwa vile wanajua wapo madarakani kwa dhuluma ndio maana
wanalindwa saa zote,wizi mtupu. sikiza BBC HAPA kama hujaipata news BBCSwahili.com
BBC Swahili - Mwanzo
 
Back
Top Bottom