nimevutiwa na kila kila kitu ktk picha hii...wewe kimekuvutia nini?

Nina uhakika gani kama wanakula kwa macho tu,,? na hata kama wanakula kwa macho tu lazima kiroho kidunde LOL!:A S-alert1:

kiroho kudunda kwa sbb ya mpenzi wako ni dalili kuwa penzi bado liko hai.hiyo ni nzuri kwa afya ya penzi.
 
Nasikia wenye vinyweleo wako watamu kishenzi je ni kweli mie sijawahi CHAKACHUA wa hivyo.
 
Nina uhakika gani kama wanakula kwa macho tu,,? na hata kama wanakula kwa macho tu lazima kiroho kidunde LOL!:A S-alert1:

Watu kama wewe hufa kabla ya siku zenu,acha wasiwasi na ujiamini na kumuamini mwenzio la sivo presha,vidonda vya tumbo,stress zote utazipata.
 
hii kitu ndio nzuri kweli nyie bado sio ma pro . ntalipa kitu yoyote kwajili ya hi maneno
 
jamani kwani mie ni kakakuona,mbona wenzio wengi tu washaniona,muulize babukijana juzi tu nimetoka kumrudishia cd yake YESU NIBEBE aliyoniazima.
mmmh na cd uliirudisha ukaondoka salama maana ilikuwaje niikuachia ningekuiba mpka sasa ningekuwa najipigia menyu bufee:hungry:
 
Hakika haina maana yoyote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
duh Cheusi mie labda nimependa Gladiator<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
 
cheusimangala,....! HIYO NI MIGUU YAKO..!
miguuni tu nywele namna hiyo je ukipandisha kule juu...!
:whoo:
 
Weka na uso wake bana tumalize mjadala...au nikuwekee?...haya huyu hapa

BeardedWoman5.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom