Nimevunjika Moyo

Da Dinnah

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
504
181
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
 
Pole sana,....ila usilie wala usikonde kwani wako yupo tena yupo hapahapa duniani
 
Pole sana,ichukulie kama changamoto! Piga magoti umwombe nakumshukuru Mungu
 
Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between usi
Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
 
pole cna jikaze tu tulia kwa mda then ufungue ukurasa mpya cyo rahisi hilo nalijua bt yu hv 2 do it case kama amekutamkia mwenyewe hata uki ng"ang"ania utakuwa unapoteza mda just 4gve n 4gt 4 gud
 
Atleast umenipa cha kucheka, sijawahi hata kumuomba mia tano japo hali yangu duni, naridhika na nilichonacho
 
Pole sana my dia one, take heart na Mungu akuwezeshe. Zaidi sana mpende Yesu maana will never leave nor forsake you. :A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
pole cna jikaze tu tulia kwa mda then ufungue ukurasa mpya cyo rahisi hilo nalijua bt yu hv 2 do it case kama amekutamkia mwenyewe hata uki ng"ang"ania utakuwa unapoteza mda just 4gve n 4gt 4 gud
Thanx gud advice nitashikilia hili
 
Pole sana my dia one, take heart na Mungu akuwezeshe. Zaidi sana mpende Yesu maana will never leave nor forsake you. :A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu.....Zab 23:6 mstari mzuri umenifariji
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

Shukuru kakuambia sasa hivi, je angekuambia baada ya miaka, wakati mna familia. Hapo usikate tamaa sababu nauhakika kuna jamaa wengine walikuwa wanakutamani lakini sababu ya huyo jamaa walishindwa kufanya move. Kila jambo lina heri yake. Kakuepushia sharii huyo
 
Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf

Thanks Yo Yo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom