Nimevunjika mkono wa kulia

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
311
96
Naomba msaada ni vitu gani nitumie ili mfupa uunge haraka pia niliwekwa chuma baada ya kutoa wk iliyopita ile sehemu niliyotoa chuma imekakamaa sana na kuota vipele vilivyovilia maji nini tatizo
1473850908696.jpg
1473850939250.jpg
 
Hospital hizi za Tanzania ni majanga majanga!! Mchawi ni hela tu! Kuna Hospital flani ipo nchini Kenya ni hospitali ya kawaida sana na matibabu yake ni nafuu! Kama ungeenda hapo wala usingekuja kuuliza huku!! Wala usingewekewa hayo machuma!!

Ukitaka mfupa uunge haraka kula Asali!! Kuna rafiki yangu alivunjika mguu daktari wakawa wanamwambia awe anakula asali! Asali ina lainisha mifupa na itakuwa raisi sana kuungana haraka!!
 
mifupa wataalamu wa asili wanatibu vizuri kuliko hospitali. kuna dogo alivunjika mkono kaungwa ndani ya wiki moja. HAajamaliza mwez ila ameshaanza na kucheza mpira kama zamani.
 
Hospital hizi za Tanzania ni majanga majanga!! Mchawi ni hela tu! Kuna Hospital flani ipo nchini Kenya ni hospitali ya kawaida sana na matibabu yake ni nafuu! Kama ungeenda hapo wala usingekuja kuuliza huku!! Wala usingewekewa hayo machuma!!

Ukitaka mfupa uunge haraka kula Asali!! Kuna rafiki yangu alivunjika mguu daktari wakawa wanamwambia awe anakula asali! Asali ina lainisha mifupa na itakuwa raisi sana kuungana haraka!!
asante sana mkuu
 
Pole sana kiongozi..kama una mke ndo kile kipengele cha wanandoa kisemacho "tutavumiliana wakati wa shida na raha" akidumishe/akitimize
 
Back
Top Bottom