Nimeupenda sana ujumbe wa hii picha...Waajiri watuangalie jamani!

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Jamani Waajiri mtuangalie jamani walau mishahara nayo iwe inakua pia kama ndugu zake! Salary.jpg
 
Wabunge ambao ndio wa kututetea wanajifanya hawalioni hilo, wanajali matumbo yao kazi kujiongezea posho tu!Shame on Tanzanian MPs, kasoro Zitto!
 
sio tu ku grow up hata cheki haijasmile kabisa na wakati wenzake wamesmile kidogo yeye yani kanuna kuonyesha kua mambo sio kabisa yani
 
Cha ajabu Wabunge wanajipendelea wao tu. Posho ndo hizo zimeongezeka ingawa mwanzoni walikuwa wanapinga. Walau salary zao zinakua, za kwetu wengine huku zinaendelea kudumaa kila kukicha....
 
Cha ajabu Wabunge wanajipendelea wao tu. Posho ndo hizo zimeongezeka ingawa mwanzoni walikuwa wanapinga. Walau salary zao zinakua, za kwetu wengine huku zinaendelea kudumaa kila kukicha....
Wabunge wanapata malipo Mazuri kwa ajili yenu nyie walala hoi kazi yao wabunge kupiga makelele Bungeni kuwatetea Wananchi wao ndio maana Serikali inawapa Mishahara Mizuri kasheshe kweli ............... Waswahili husema. Ashibaye Hamjuwi Mwenye njaa
 
Jamani Waajiri mtuangalie jamani walau mishahara nayo iwe inakua pia kama ndugu zake!View attachment 42737

Wabunge wameshaongezewa posho kama vile kupanda gharama za maisha kunawaathiri wao tu na siyo Watanzania wengine!!!! Ndio maamuzi ya Serikali taahira....wenyewe wanajiita Seriali sikivu, sijui ni usikivu upi waliokuwa nao.
 
Ujumbe mzuri kwa Serikali ya Magamba, Lakini hawatauelewa maana tayari wameshiba posho. Wataangalia Hawataona. Maji ya moto hayaunguzi nyumba.
 
Back
Top Bottom