Nimeumizwa na hili!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma!
Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!
 
Pole. Wamesahau hata kipato pia ni tofauti, maybe wanamaanisha wanatumia sauti zao kujikimu. Usiwajali as long as kazi zao hazikuweki mjini, wapotezee
 
Nadhani aliyeandika hivyo itakuwa alikerwa sana watangazaji....
Kuna watangazaji wanaboa sana unaweza ukajaribiwa kuidharau fani yote ya utangazaji....
Watangazaji kama Kibonde, Zembwela na wengine wa aina hiyo wanatia kinyaa kwa baadhi ya watu
 
Ukitazama vyema utaelewa falsafa iliyotumika hapo.
OTIS
 
Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma!
Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!

Katiba inamruhusu kila mtu kutoa maoni yake pasipokumtukana
 
Pole. Wamesahau hata kipato pia ni tofauti, maybe wanamaanisha wanatumia sauti zao kujikimu. Usiwajali as long as kazi zao hazikuweki mjini, wapotezee

Kweli kwani kati yao mmoja wao akiwa bubu kazi si hamna, hata kama uwe na profesional ama usiwe nayo
 
Nadhani aliyeandika hivyo itakuwa alikerwa sana watangazaji....
Kuna watangazaji wanaboa sana unaweza ukajaribiwa kuidharau fani yote ya utangazaji....
Watangazaji kama Kibonde, Zembwela na wengine wa aina hiyo wanatia kinyaa kwa baadhi ya watu

mtoe Zembwela kwenye list yako, mweke Deo Rweyunga au wale wa TBCCM.
 
mi sijui nikoje
hainiumizi mtu mwingine akidharau kazi yangu
as long as havuki mpaka na kuja kuniharibia.

Maneno tu, yapo kwenye keki na tunazila
naipenda kazi yangu sababu ndo inaniweka mjini.
 
Sasa hapo dharau iko wapi?
Wewe unaeona kuwekwa kwenye sentensi moja na mpiga debe huku ukiwa husifiwi ni dharau ndio mwenye dharau.

Acha dharau!!
 
kwani hapo kazi ipi imedharauliwa? Kupiga debe mböa hata kwenye kampain za maraisi wapo? Na wana kipato zaidi ya hao radio presenters?
 
Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma!
Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!
Hapa pia na wewe umebeza MPIGA DEBE.. mie pia umenikera!
 
kuna wapiga debe wa vyama vya siasa sijui na wao wapo kundi lipi?
 
Mimi sijabeza ila nilicho maanisha taaluma!!mtangazaji yupo kwenye masscom je mpiga depe wa daladala yupo kwenye taaluma ipi??mpaka alinganishwe na presenter??
 
Kwani huyo presenter ana kipi cha ajabu?
 
Back
Top Bottom