Nimeumia sana na nataka kuacha kuingia humu MMU baada ya kusoma michango baadhi ya huyu member

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
1,660
1,162
Wakuu nimeumia sana tena sana baada ya kusoma michango na thread baadhi za huyu member mwenzetu alieanzisha nyuzi hii.

Mwanaume asiyejua mapenzi, mwanaume mzigo.

Kiukweli sikutegemea kama na watu wa aina hii mpaka huku JF wapo.Lakini kwa kujiridhisha zaidi nimepitia nimichango yake katika threads mbalimbali nimehuzunika sana.Naomba wanajukwaa au madaktari wa afya ya akili kama wapo humu basi waangalie namna ya kumsaidia kijana mwenzetu.

Nimesikitaka sana tena sana.Ingawa mimi huwa natenda dhambi nyingi lakini katika hili moyo wangu umejaa majonzi.Sikuamini kama JF kama maswahibu haya yanaweza kuwepo.

Ewe mwenyezimungu tuokoe sisi wajaa wako.
 
Nilipopitia mchango huu ndio nikabaki mdomo wazi,watu wa aina hii inabidi kama jamii tuangalie bamna yakuwasaidia.
Screenshot_2016-10-22-00-44-00.png
 
Duh kumbe kuna member wa jf shoga? Hebu wafungue nyuzi ya pamoja ili wapate haki yao ambayo ni jf life ban..unless iwe si ya kujitakia..
 
Niliwai kusema umu MMU,tatizo limekuwa kubwa Sana tofaut na tunavyolichukulia..

Kinachoumiza zaid,wengi hufanya kwa siri..
 
Mkuu inauma sana,nilikuwa natafuta tu namna yakuweka kichwa cha habari kivutie ili wasomaji wengi waweze kuisoma na kuangalia namna bora ya kumsaidia.
Inauma sana kuona shoga kijana, bora mizee ambayo ilishakua na familia itajua yenyewe na dhambi zao
Ila kijana uzao ndo bye bye, atasaidika atakapohitaji kama hajawa tayari ni kazi bure

Mwenyewe akija hapa atakuambia chefuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom