Nimeukumbuka utabiri wa Mchungaji Joshua T.B

Yes this sounds it was true but always the truth before the oppressors is nonsense. But yet one day YES!!!!
 
huyu naye na babu yake Yahya! Mtu anakosea matokeo ya simba na yanga tu halafu umlinganishe na nani?
 
Kwani hujui kuwa walitaka kuhakikisha kuwa matokeo yao yanashabihiana na yale ya REDET/SYNOVATE ndio maana wametumia njia zozote zile ili mara nyingine mtakapo ambiwa na akina REDET basi msiwe na ubishi,Matokeo yalikuwa yameshajulikana na walichokifanya ni kubadilisha kulingana na wanavyotaka wenyewe ndio maana unaona matokeo yamechukua siku kadhaa badala ya masaa,je umhimu wa kutumia computer ulikuwa wapi? au walikuwa wanahesabu kwa vidole? au walitumia calculator?
aghhhhhhhhhhhhhhhh
:israel:
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!!

Inavyoonekana CHADEMA ilishinda kwa mujibu wa huo utabiri wa Mch. Joshua.

Wadau mnasemaje kuhusu hili?
 
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!!

Inavyoonekana CHADEMA ilishinda kwa mujibu wa huo utabiri wa Mch. Joshua.

Wadau mnasemaje kuhusu hili?

Mchungaji Sheikh Yahya
 
Mbona wanatawala kwa kushinikiza Ilani yao ya uchaguzi itekelezwe na CCM wameufyata mkia.............................CCM haina katiba mpya kwenye Ilani yake ya ucaguzi lakini sasa imelazimishwa na Chadema kunywa hicho kikombe...........................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom