Nimetokea mahabusu kumuona Lema leo

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa Arusha, Kisongo ambako nilikwenda na mke wa Lema na watoto wake. Watoto wake wawili Allbless na Brilliant hawakuruhusiwa kumuona baba yao na wamelia kwa uchungu mkubwa sana wakati askari magereza walipowazuia.

Lema yupo Imara na still msimamo wake uko palepale. Ameona na azidi kujifunza mengi, amewakuta watu wengi wanaolalama kwa kubambikiziwa kesi, amewakuta maskini kibao ambao wamefungwa kwa sababu ya kushindwa kulipa faini ya pesa kidogo na ameomba watu wenye nia njema wachange fedha kuwasaidia watu hao waondoke magereza.

Amewakuta wafungwa wanawaKe wakikosa huduma muhimu kama vitambaa vya kike yaani pedi na hali ni mbaya sana.

Wakati tunaondoka alimwambie mke wake "BE STRONG, The purpose of life sio kisses na maisha mazuri. BE STRONG KAMA MKE WA MARTIN LUTHER CORETTA KING"

Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.

Nawasilisha.
 
Mkuu Ngurati tunashukuru kwa update..maelezo yako yamenigusa sana sana!! Lema ni shujaa wa kweli. Nina uhakika hayapita hivi hivi. Impact ya kuwa gerezani itakuwa na kishindo kikubwa..Mark my words
 
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa arusha, kisongo ambako nilikwenda na mke wa Lema na watoto wake. Watoto wake wawili Allbless na Brilliant hawakuruhusiwa kumuona baba yao na wamelia kwa uchungu mkubwa sana wakati askari magereza walipowazuia. Lema yupo Imara na still msimamo wake uko palepale. Ameona na azidi kujifunza mengi, amewakuta watu wengi wanaolalama kwa kubambikiziwa kesi, amewakuta maskini kibao ambao wamefungwa kwa sababu ya kushindwa kulipa faini ya pesa kidogo na ameomba watu wenye nia njema wachange fedha kuwasaidia watu hao waondoke magereza, Amewakuta wafungwa wanawae wakikosa huduma muhimu kama vitambaa vya kike yaani pedi na hali ni mbaya sana.

Wakati tunaondoka alimwambie mke wake "BE STRONG, The purpose of life sio kisses na maisha mazuri. BE STRONG KAMA MKE MARTTIN LUTHER CORETTA KING"

Wanaonibeza wacha wanibeze lakini kukaa gerezani kuna maana kubwa sana kwangu.

Nawasilisha.

we shall overcame. God bless us


w
 
Du,haya mdau,kuhusu wafungwa wanawake hapo,amewezaje kukutana nao?

Ndo maana ya kukaa jera, asingekuwa yeye yasingejulikana haya. Lema ni waziri kivuli wa magreza pia hivyo anatekeleza wajibu wake pia japo yuko jera. Vipi mkuu wakutupe wewe ukahakikishe kama wanapewa au la!
 
jana kuna mahali nilisema siasa anayoongea lema kwa wengi ni next level....kwa hali ya kawaida mtu unaeza kupinga kwa kuwa tu hujui maana yake.......hakika huyu ndiye aliyethubutu na kwa kukaa huko naamini siku si nyingi haki na usawa vitatitirika kama maji ya mto
 
Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.

Arusha is a better place without Lema!
 
Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.

Arusha is a better place without Lema!

hilojina ngoromiko ni mnyama asiyeona mchana
mkuu nakumbuka umelelewa kwa wale wazee wa kiislam pale machame
tunasikia kwenu mna laana
je ni kweli???
 
Dah!!kweli inaumiza lakini we(not only his wife)should be strong!kwel Lema you delivered very good message kwamba life is not only kisses and living a good life wakati wenzako wasio na hatia wanateseka!Kila chenye mwanzo kina mwisho wake!udhalim,unyanyasaji.ubakaji wa demokrasia una mwisho!Let the almighty God give you strength and wisdom Lema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom