Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?

Status
Not open for further replies.
Hi Guys!

Niende direct kwenye mada, mie ni mgenu humu jf, baada ya kujiunga na kuukubali huu mtandao nikawa na hamu ya kujua historia yake.

Katika peruziperuzi zangu ndo nikakutana na habari za maxence, baasi nimetokea kumzimia kweli huyu founder, simjui hanijui ila i always think about him toka nimfahamu habari zake. Believe it or not nimesoma post zote zinazomuhusu. Ifind everything abt the dude so sexxxy! hata kama ni mambo ya CDM jst imagine!! Bora hajaweka pic manake ingekuwa noma! I have a :mwaaah:big crush on the dude!!!

Najua wasoma risala na barua kwa mgeni rasmi wa humu jf mtaanza ohhh we mtoto wa kike haipendezi kumtongoza mwanaume blah blah blah! Leave me alone i beg ohhhh!

Seriously sasa mnanishaurije manake niliona nikimtokea privately akija kuniumbua huku mtafanya BIG DEAL bora nimuapproach hukuhuku jamvini mbele yenu ili isiwe breaking news.

Kutongoza kaumbiwa mwanaume (kumbe mnapataga tabu kutema mistari) mie wa kike nimedakia tu bt Maxence please if you are interested PM, na kama haupo interested hata match za ugenini/nje poa tu all you have to do is to PM me.

NB: Hizi ni hisia zangu tu DONT BAN ME! kupendwa bahati ati!:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

Akikubali siemi ng'oooooo siri yetu

hello lara 1! Hata mimi ni mdogo wa maxence so mambo yakibuma huko unaweza ukani-pm wala sitakataa kabisa and wor out koz 2mefanana kila ki2 na hata my full name is Shardcole Mello so u may see tumeshare hata surname koz yy ni maxence mello.
 
Smile nitake radhi, nampanda hubby wangu Asprin tu! sina mwingine na haitakaa ikatokea! hata owner wa CNN simtaki, mie kwa babu tu!
Haya maneno matakatifu toka kwako nimeyamisi siku nyingi sana. Na nimeshapungua uzito. Sijui kuna pepo gani limetabaruku hapa katikati? Ntalifanyia kazi, we ngoja tu.
 
Ishi! angalia post ya mahojiano amevaa pete, ndiye huyo! Ushawahi kubondwa wewe!
lakini yeye ameshakiri kuwa amesoma post zote zinazomuhusu Maxence Melo, kwa hiyo lazima anajua kama ameoa. yeye anarusha tu ndoana yake, huwezi jua, anaweza akakosa samaki akapata angalau dagaa.............. si wanasemaga if you cant get what you like, then should like what you get? all the best mamito
 
Last edited by a moderator:
Umetenda tendo la kishujaa kwelikweli!Yani nakufananisha na wale waliopigana vita ya majimaji, ngoja nikufanyie utaratibu jina lako liwe miongoni mwa mashujaa wa TZ. Ila kuna kitu sijakielewa, ivi hujui kuwa huyu bwana ana mke?
 
afu bado watu wanaamini kuwa always wanaume ndio wanaotongoza wanawake.

Utasikia,

"wewe gombana na mmeo kwani amemfuata kama alivyokufuata wewe...angejua kaoa angetulia na mkewe"

Wadada wa siku hizi wanajilipua tu...hivyo wana deserve equal share ya varangati siku kikinuka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom