Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?

Status
Not open for further replies.
salosalo na wewe kama mtoto vile! hizo zingine intro tu ila MAIN TOPIC UMEISOMA! Hizo stori zingine zunguka mbuyu tu au uiltaka niandike kiutu uzima?? GROW UP! Kama kina the boss na asprin dont be so tight on everything!! huku sio jukwaa la siasa wa uchambuzi wa uandishi wa thread

Alah, kummbe! Ngoja nikue haraka. Nimeshakua chapchap. Ahaaa kumbe anampenda kweli na amemwambia kimasihara lakini mwishowe anaweza ku-make kiukwelikweli eh. Max Max tukimpoteza huyu mwana JF utakuwa na la kujibu, jitokeze haraka umjibu tafadhali!
 
where is Kiranga ??????/
hii ni celebration ya kuua mfumo dume kwenye kutongoza

sasa tusubiri who is next lol
 
Last edited by a moderator:
The Boss ndo utandawazi huu, kama hatujachakachuliwa, maana ....

Tatizo sheria za demand and supply zina dictate kwamba dada kachelewa. Max anaweza kupata kesi bure.

Inabidi aanze kumtabiria Max mwingine mapema kabla hajapanda bei na kuchukuliwa.

Maana hata yule mpinga ndoa Kiranga naye anataka kuchukuliwa jumla.
 
Kwa wadada sasa tuseme 'kazi ni kwao'
faida na changamoto za utandawazi....
 
Raha kweli siku izi..kupata strange Call,BBM kwa vidume wala hatuna stress tupo waChache Tz... Bado The Boss vipi patupu ??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
where is Kiranga ??????/
hii ni celebration ya kuua mfumo dume kwenye kutongoza

sasa tusubiri who is next lol

Kwenye suala hili, wanawake humu wamekuwa wakipinga mfumo dume long time mbona, hata kabla The Boss mwenyewe kufungukiwa

Hebu tueleze huwa mnajiskiaje?
 
Last edited by a moderator:
Mhhh,

Nina wasiwasi mtu anataka kwenda kutembelea Bukoba kula Matoke na ndizi..... Na ile Pombe yao nasikia inavuta sana akina dada maana unainywa kwa Mrija bila kuingiza Domo lako kwenye chombo kama Wadhungu.....

photo.jpg
 
Infidelity is inevitable. Navyomjua mke wa Maxence Melo, kuna hatari mtu akatolewa ngeu hapa. Ngoja tumsubiri aliyedondokewa atachukua hatua gani kwenye hii bahati ya mkenge. Hivi hakuna mdada wa JF aliyenidondokea mimi nikado naye the needful. PM inbox yangu iko wazi incase of.....

:biggrin1::biggrin1:
 
Last edited by a moderator:
Kwa great thinker kama mimi najumuisha kuwa aliyependwa sio Max bali kazi na post zake za JF ("katika peruziperuzi zangu ndo nikakutana na habari za maxence, baasi nimetokea kumzimia kweli huyu founder" na hii "simjui hanijui ila i always think about him toka nimfahamu habari zake. Believe it or not nimesoma post zote zinazomuhusu. Ifind everything abt the dude so sexxxy!"). Mpendaji anajua kupenda maana yake MECHI ("hata match za ugenini/nje poa tu")tu. Mpendaji anaendeshwa na hisia za watu na si za kwake ( "..niliona nikimtokea privately akija kuniumbua huku mtafanya BIG DEAL bora nimuapproach hukuhuku jamvini mbele yenu ili isiwe breaking news"). Kiufupi hafai kuwa mke/ mchumba wala hawala. Kumpa mojawapo ya hizo nafasi ni sawa na kujitwisha gunia la *****. Max chagua kusuka au kunyoa...

Jamani!
 
Nawee fanyia mimi kampeni bana. Mi nataka nami nidondokewe na mrembo nisuuze storongo yangu kiJFJF.

Ungekuwa uko singo mbona mie ningejilipua kwako nikamtaliki Paw? Ila na wewe una wake wengi sana bana, kukufanyia wewe kampeni ni presha sawa tu na kumfanyia kampeni baba rizmoko na linyinyiemu lake!
 
Utapata tu Asprin, I am a city woman, i know what i want and i want MAXXX AND ONLY MAX. No other options will be considered. all the best asprin

Kwe,kwe,kwe,kwi,kwi,kwi,kwo,kwo,kwo,teh,teh,teh,tehhhh!!
 
Kwa great thinker kama mimi najumuisha kuwa aliyependwa sio Max bali kazi na post zake za JF ("katika peruziperuzi zangu ndo nikakutana na habari za maxence, baasi nimetokea kumzimia kweli huyu founder" na hii "simjui hanijui ila i always think about him toka nimfahamu habari zake. Believe it or not nimesoma post zote zinazomuhusu. Ifind everything abt the dude so sexxxy!"). Mpendaji anajua kupenda maana yake MECHI ("hata match za ugenini/nje poa tu")tu. Mpendaji anaendeshwa na hisia za watu na si za kwake ( "..niliona nikimtokea privately akija kuniumbua huku mtafanya BIG DEAL bora nimuapproach hukuhuku jamvini mbele yenu ili isiwe breaking news"). Kiufupi hafai kuwa mke/ mchumba wala hawala. Kumpa mojawapo ya hizo nafasi ni sawa na kujitwisha gunia la *****. Max chagua kusuka au kunyoa...

Bilashaka wewe jamaa ni mwanasiasa tena mkongwe tu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom