Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

Na aliye mcreate God nani kam create?
Kuna classical logic moja inaitwa law of non contradiction ambayo inasema hivi "contradictory statement cannot both be true in the same sense at the same time" kwa mfano "A is B and A is not B are mutually exclusive". Ufafanuzi, sifa za mungu ni za kipekee mfano A ni mungu, A anaweza kumtengeza B lakini B hawezi kuwa A at the same time isipokuwa labda A=B at the same kwa hiyo hapo ni kitu kimoja tu ndicho kinaexist na sio kitu kiweze kumuumba A kwa maana watakuwa na sifa zinazofafana hivyo kuwa kinyume na law of non contradiction na Kama tujuavyo mungu hajicontradict. Ningependa tuyazungumze haya kwa kutumia logic.
 
Umeanza vizuri, lakini kuanzia kati mpk mwisho haujaeleweka. Nadhani ungepanga point zako vzr zaidi ungeeleweka
 
Bt why it takes so much energy to know the existence of God?. Why we should hussle for that? Nadhani haikutakiwa tuumie namna hii kujua uwepo wake.

Kuhusu uwepo wake hamna nguvu kubwa inayotumika sema tuna contradict kuhusu yupi ndo Mungu.
 
Who created a computer? A man. Who created a man? God. Who created God? .......Nobody knows. Ok. Man happened by chance but a man created a computer. A computer did not happen by chance. Why God could not happen by chance like man?
Kwa kutokujua aliyemuumba Mungu au kutokumuona Mungu hakufanyi asiwepo. Binadamu hakujua kuwa Dunia inazunguka, kutokujua huko hakukufanya Dunia iache kuzunguka. Kufikiri kuwa Dunia ni kama Meza hakukufanya Dunia isiwe mviringo.
Kwa sababu wanadamu hawamuoni Mungu, au aliyesanifu viumbe na ulimwengu wote kwa namna ajabu hakumfanyi asiwepo. Sio issue ya imani tu, ni issue ya ushahidi. Mpaka sasa hatuna ushahidi uliothibitishwa pasipo shaka kuwa viumbe na galaxies zetu zilianzaje. Bado wanasayansi, pamoja na kudai kutokea kwa mlipuko mkubwa(Big Bang) na evolution lkn bado wanashangaa jinsi matukio hayo yalivyotokea kwa mpangalio wa ajabu ambao unavuka mpaka bahati nasibu. Tusiwe wenye fikira zenye kikomo.
Haille alimaliza kila kitu hapa.

Who created supreme being? If not created then explain how?
 
Kwanza elezea maisha ni nini huwezi kusema maisha hayana maana wakati hujasema definition ya maisha.
 
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.

Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.

How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.

Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.

Nawasilisha wadau.
your dead body
 
Kila kilichokubalika katika sayansi kimekuwa tested. Umeme hatuamini tu upo, bali tunajua upo. Je, kwanini tuamini kuwa Mungu yupo badala ya KUJUA kuwa yupo? Why should we believe and not KNOW? Why?
Jibu ni kuwa, huyo Mungu hayupo bali ni wa kufikirika.
Mkuu,Always_Am_A_Winner...Nimekuelewa_na_swali_lako_ni_zuri_sana.

Mimi_napenda_watu_wadadisi_na_wachokonozi_kama_wewe.Haifai_tu_siku_zote_kufata_mkumbo_wa_kuamini_kitu_fulani_kutokana_na_wingi_wa_watu_wanaoamini.

Mtu_muelevu_hudadisi_na_hatimaye_hufikia_hatua_ya_kuuliza_maswali_ili_ajibiwe_kwa_namna_inayofaa_na_kama_majibu_hayo_yatapata_na_utashi_wa_kichwa_chake_basi_mtu_huyu_hulidhika.

Life_has_no_purpose!!..Hapana,maisha_yana_maana_na_lengo_maalumu_kutokana_na_aliyetuumba..Mosi,Tumeumbwa_ili_tumuamudu_yeye_Mungu...Kusema_kwamba_hakuna_Mungu_hilo_ni_tusi_kubwa.

Hapo_juu_umeuliza_ni_nani_aliyemuumba_Mungu,Ikiwa_yeye_aliumba_dunia_na_vitu_vilivyomo!!..Mungu_hajazaa_na_wala_hajazaliwa..Kitu_chochote_specific_ni_vigumu_kuwa_na_mwanzo_unaoeleweka.

Imani_ya_kwamba_hakuna_Mungu_inazidi_kuenea.Kuenea.Kuonea_huko_hakutokani_na_ile_hali_ya_watu_kutaka_kutenda_dhambi,,La_hasha!!..Inatokana_na_uthubutu_na_pengine_utashi_wa_watu_kuuliza_maswali_ambayo_kwa_namna_moja_au_nyingine_ni_lazima_yajibiwe.

Ingawa,mimi_binafsi_sikubaliani_na_wewe_lakini_kwa_namna_watu_wanavyokujibu_sivyo_inavyopaswa_kuwa.Wanakujibu_katika_namna_ya_kukukomoa_as_if_ni_kitu_kibaya_wewe_kueleza_mtazamo_wako.

Nitakupa_mfano.
 
Ukiiendelea kusoma huu uzi usio na maana na wewe utakosa maana ya kusoma uzi usio na maan. Ndiyo maana sijacomment maana nitakosa maana ya maana ya kuwa na maana.
 
Genesis 1:1-31
In the beginning, God created the heavens and the earth. The earth was without form and void, and darkness was over the face of the deep. And the Spirit of God was hovering over the face of the waters. And God said, “Let there be light,” and there was light. And God saw that the light was good. And God separated the light from the darkness. God called the light Day, and the darkness he called Night. And there was evening and there was morning, the first day. ...
How can evening and morning exist before the sun to give them meaning?

How can the day exist without spinning Earth?

The passage you cited is basically self defeating
 
1. Alokwambia dunia imeanza bila logical reason ni nani? tupe vitabu ulivyo refer.
2. Maisha yaloanza bila maana ni yako kwamaana ulizaliwa bahati mbaya, wazazi wako hawakuwa na mpango kabisa.
3. Kwamaana maisha yako yameanza bahati mbaya, kweli hayana maana, kunywa sumu ufe huna haja ya kushi maisha ya siyo na maana.
4. Mungu wako hana maana kabisa, wala hayupo. Sisi wakwetu alie tuumba ilitumu abudu tunamuabudu kila siku.
5. Ni kweli dini ni ulaghai kwamaana imeletwa na wanadamu, LAKINI WOKOVU WA KWELI umeletwa na MUNGU kupitia YESU KRISTO.

Ili uone thamani na kusudio la maisha, lazima uwe ndani ya YESU PEKEE. Vinginevyo hakuna sababu ya kuishi.

Mtume Paulo alisema kuishi ni KRISTO na kufa ni faida ukiwa Mkristo kweli.
Mbona Ngonjera?
 
wewe huna maana,ulichoandika hakina maana hata mimi nacomment bila maaana,haya maisha haya
 
Who created a computer? A man. Who created a man? God. Who created God? .......Nobody knows. Ok. Man happened by chance but a man created a computer. A computer did not happen by chance. Why God could not happen by chance like man?

1. Kwa kutokujua aliyemuumba Mungu au kutokumuona Mungu hakufanyi asiwepo.
Na wewe unaamini Mungu hajawahi kuonekana ???

1. Binadamu hakujua kuwa Dunia inazunguka, kutokujua huko hakukufanya Dunia iache kuzunguka. Kufikiri kuwa Dunia ni kama Meza hakukufanya Dunia isiwe mviringo.
Na pamoja na utata huo, Mungu hakujitokeza kuwaelewesha Binadamu ukweli hadi walipotumia maarifa yao ???

Kwa sababu wanadamu hawamuoni Mungu, au aliyesanifu viumbe na ulimwengu wote kwa namna ajabu hakumfanyi asiwepo.
Sio issue ya imani tu, ni issue ya ushahidi. Mpaka sasa hatuna ushahidi uliothibitishwa pasipo shaka kuwa viumbe na galaxies zetu zilianzaje. Bado wanasayansi, pamoja na kudai kutokea kwa mlipuko mkubwa(Big Bang) na evolution lkn bado wanashangaa jinsi matukio hayo yalivyotokea kwa mpangalio wa ajabu ambao unavuka mpaka bahati nasibu. Tusiwe wenye fikira zenye kikomo
Kwahiyo ni kazi ya Mungu ??

.
 
Mkuu,Always_Am_A_Winner...Nimekuelewa_na_swali_lako_ni_zuri_sana.

Mimi_napenda_watu_wadadisi_na_wachokonozi_kama_wewe.Haifai_tu_siku_zote_kufata_mkumbo_wa_kuamini_kitu_fulani_kutokana_na_wingi_wa_watu_wanaoamini.

Mtu_muelevu_hudadisi_na_hatimaye_hufikia_hatua_ya_kuuliza_maswali_ili_ajibiwe_kwa_namna_inayofaa_na_kama_majibu_hayo_yatapata_na_utashi_wa_kichwa_chake_basi_mtu_huyu_hulidhika.

Life_has_no_purpose!!..Hapana,maisha_yana_maana_na_lengo_maalumu_kutokana_na_aliyetuumba..Mosi,Tumeumbwa_ili_tumuamudu_yeye_Mungu...Kusema_kwamba_hakuna_Mungu_hilo_ni_tusi_kubwa.

Hapo_juu_umeuliza_ni_nani_aliyemuumba_Mungu,Ikiwa_yeye_aliumba_dunia_na_vitu_vilivyomo!!..Mungu_hajazaa_na_wala_hajazaliwa..Kitu_chochote_specific_ni_vigumu_kuwa_na_mwanzo_unaoeleweka.

Imani_ya_kwamba_hakuna_Mungu_inazidi_kuenea.Kuenea.Kuonea_huko_hakutokani_na_ile_hali_ya_watu_kutaka_kutenda_dhambi,,La_hasha!!..Inatokana_na_uthubutu_na_pengine_utashi_wa_watu_kuuliza_maswali_ambayo_kwa_namna_moja_au_nyingine_ni_lazima_yajibiwe.

Ingawa,mimi_binafsi_sikubaliani_na_wewe_lakini_kwa_namna_watu_wanavyokujibu_sivyo_inavyopaswa_kuwa.Wanakujibu_katika_namna_ya_kukukomoa_as_if_ni_kitu_kibaya_wewe_kueleza_mtazamo_wako.

Nitakupa_mfano.
pumbavu wach kuandika km uko insta,mwandiko mchafu km tako la 'kaoge'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom