Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,236
- 1,257
- Thread starter
- #21
Naomba nikuweke sawa kwenye red
1. Ukijongea umbali wowote ule lazima ndani yake kuna "infinitesmall distance" ambayo utakuwa umejongea katika "infinitesmall period of time"
2. Kutokana na heading kwamba 'unaota tu' je unaota ukiwa wapi?
Unaota ukiwa in virtuality..., coz haupo in the real sense as we perceive it..
Kuhusu roman 1. Its true.., lakini in the end we perceive as having covered a real distance( which isn't), lets say "i have moved 2 centimetres in 5 seconds..", which just cant be.., or if it is to be.., then it should in principle take you forever to cover whatever distance..